Kufanya scrub kuna shida yoyote kiafya?

Kufanya scrub kuna shida yoyote kiafya?

My Learned Brother Pasco, Thanks a lot, kumbe na huku umebobea? BM nilishakwenda pale wako vizuri sema tatizo huenda liwe MFUKO STREET, inabidi uwe vizuri kwenda pale vinginevyo utajikuta unapepesa macho, kuna siku karibu nikose mechi ya watani, walikunguta pochi haswa -ukitaka uzuri sharti udhurike
Mkuu Amavubi,

Kitendo cha kufanya scrub kibaolojia kinaitwa exfoliation yaani to remove dead skin from the surface of a skin. Kila siku cells za ngozi ya juu zinakufa na kuwa replaced na cells mpya za ngozi, hivyo scub ndio kitendo cha kuondoa hiyo hizo dead cells.

  1. Kwanza inatakiwa kufanywa na natural products ambazo ni rich in protein, Wazaramo kiasili waliifanya kwa kutumia mapumba!. binti akiishapata mchumba, aliwekwa ndani na kusiguliwa kwa mapumba. Watu wa Pwani kama Wanzanzibari, wao walitumia machicha ya nazi. Product maarufu sana ni apricot, cocoa, karanga, pera, parachichi, papai bichi, soya, asali mbichi, etc. Nyingi ya products katika hizi saloon zetu sio!. Lengo la matumizi ya hizi natural products ni ku replenish skin mara baada ya kuibandua hiyo dead skin, ngozi iliyobaki inahitaji virutubisho kubaki na rich skin, heathy, radiant skin.
  2. Inabidi ifanywe gently, softly and with a defined patten, scrub ikifanywa kwa nguvu mho baada ya kuibandua dead skin ile new skin ni very sensitive to scratch, hivyo wengi hujikuta wameichubua na ngozi mpya, ukisafishwa utasikia muasho kama wa mchubuko. Wengi wa wale wadada kwenye nyingi ya saloon zetu sio wataalamu kivile, hivyo wengi wetu tunaishia kuchubuliwa, na wengine wanatufanyia scrubs za kiwizi wizi tuu ili sio tuu watuibie hela, bali hadi "kuibiwa!".
  3. Exfoliation ni process inayotokea kwenye mwili mzima, ila wengi wetu wana concentrate na usoni tuu!. Ukienda saloon za massage, au nyumba za massage, unaweza kufanyiwa full body scrub, hivyo mwali mzima kufanyiwa exfoliation.
  4. Inatakiwa kufanywa after a certain period of time kama once a month, ili kuipa nafasi ngozi iliyopo ikufe na sio kuifanya weeky. watu wanaa overdo scrub wanapata madhara na hawana tofauti na wanaojichubua!.
  5. Moja ya saloon ambayo I highly recommend kwa wanaume kwa kufanya proper scrub kutumia natural products ni BM pale Kinondoni. Fullbody scrub ni ile nyumba ya massage pale Kinondoni opposite Muslim, Traquilizer. Kuna Saloon ya G2 pale Sinza nao wanajitahidi kiasi chake, tatizo la Sinza ni "wadada wezi!".
Pasco
 
Pasco, epuka wizi, nenda kwa professionals. Na wasiwasi wangu wa huko knondoni na sinza ni usafi. Hiyo process ya exfoliation inafungua pores zote na ni rahisi sana kupata infections. Na katika ulivyovitaja hapo, umesahau sea salt scrub. Asante kwa somo zuri rafiki.

sea salt scrub? mh.....funguka kingasti
 
Must be everywhere nadhani? Mimi najua shoppers plaza first floor, kuna wafilipino flani. Am kwa maznat mikocheni
Japo mimi sio mtu wa scrub ila nafanya dana massage, hivyo kwa hap Wafilipino, nikakwenda kwa hilo. Maznat sio kwa wadada tuu na haswa maharusi?!.
P.
 
wapo na Wafilipino madada?
Scrub zote na massage zote hufanywa na wadada!. Kama unatumia massage, nenda Girraffe kuna wadada Wachina, wanafanya massage "zote!" ikiwemo reiki, thai, prostate, sensual etc, wewe tuu!.
P.
 
Pasco, epuka wizi, nenda kwa professionals. Na wasiwasi wangu wa huko knondoni na sinza ni usafi. Hiyo process ya exfoliation inafungua pores zote na ni rahisi sana kupata infections. Na katika ulivyovitaja hapo, umesahau sea salt scrub. Asante kwa somo zuri rafiki.
Aisee........:crying:
 
Kweli haya mambo ni mambo ya cultural differences.

Huko kwingine wanaume kuzungumzia tu mambo ya kufanyiwa scrub tayari utaitwa gay.

Na kusema ukweli kukuta mwanaume anafanyiwa scrub (mara yangu ya kwanza kusikia wanaume wanafanyiwa hivyo ni Tanzania) ni adimu. Na kama akiwepo basi ni gay.

Kwa hiyo bongo wanaume kufanyiwa hayo mambo ndo fasheni au ndo mambo ya status hayo?
 
My Learned Brother Pasco, Thanks a lot, kumbe na huku umebobea? BM nilishakwenda pale wako vizuri sema tatizo huenda liwe MFUKO STREET, inabidi uwe vizuri kwenda pale vinginevyo utajikuta unapepesa macho, kuna siku karibu nikose mechi ya watani, walikunguta pochi haswa -ukitaka uzuri sharti udhurike

pale bm kwakweli ni hatari, mara ya mwisho niliingia VIP basi baada ya huduma zote nikapewa bill ya 70, 0000/= nilichoka mwenyewe kwakweli. wamekaa kiujambazi tu kwakweli na kwa vile watu wenye ujiko hapa mjini ile ndio salon yao kwakweli itabidi sasa hivi nihamie saloon za sinza.
 
Kweli haya mambo ni mambo ya cultural differences.

Huko kwingine wanaume kuzungumzia tu mambo ya kufanyiwa scrub tayari utaitwa gay.

Na kusema ukweli kukuta mwanaume anafanyiwa scrub (mara yangu ya kwanza kusikia wanaume wanafanyiwa hivyo ni Tanzania) ni adimu. Na kama akiwepo basi ni gay.

Kwa hiyo bongo wanaume kufanyiwa hayo mambo ndo fasheni au ndo mambo ya status hayo?

kwani wewe kwenu ni wapi? na umezaliwa wapi? bongo kuna masaji mpaka ya mboo kama ulikuwa hujui.
 
My Learned Brother Pasco, Thanks a lot, kumbe na huku umebobea? BM nilishakwenda pale wako vizuri sema tatizo huenda liwe MFUKO STREET, inabidi uwe vizuri kwenda pale vinginevyo utajikuta unapepesa macho, kuna siku karibu nikose mechi ya watani, walikunguta pochi haswa -ukitaka uzuri sharti udhurike
Yes BM kweli warefu ila kuna classes pale ukiingia VIP ndio lazima utakamuliwa, ila ikitokea siku uko vizuri kiuchumi, lipia huduma inaitwa sikumbuki nini nini ila mwisho inaishia na neno "De Capicin" inalipiwa TZS 250,000 ila you won't regrate!.
Pasco
 
...and your point is....?

si lazima kila wanachokifanya wao na sisi tufanye na si lazima wasichokifanya wao basi na sisi tusifanye. assume tu kwamba na sisi tunauwezo wa kubuni, kama miafrika ni mabingwa wa kuiga mbona hawawaigi waskotish kuvaa sketi?
 
Alrighty then. Knock yourself out.
 
napenda kujifunza mambo ya masj na scrub nimfanyie mpendwa wangu tunanunua tu vifaa na hizo components nadhani mkiwa na nyumba kubwa mnaweza mkatenga chu,ba kimoja kiwe cha masaji na scrub na kugegedana maana hayo mambo mwisho wake ni mbaya
 
Scrub zote na massage zote hufanywa na wadada!. Kama unatumia massage, nenda Girraffe kuna wadada Wachina, wanafanya massage "zote!" ikiwemo reiki, thai, prostate, sensual etc, wewe tuu!.
P.

salaaaale, una idea na bei zao hasa hiyo ya sensual?
 
Back
Top Bottom