Amavubi
JF-Expert Member
- Dec 9, 2010
- 30,156
- 13,258
pale bm kwakweli ni hatari, mara ya mwisho niliingia VIP basi baada ya huduma zote nikapewa bill ya 70, 0000/= nilichoka mwenyewe kwakweli. wamekaa kiujambazi tu kwakweli na kwa vile watu wenye ujiko hapa mjini ile ndio salon yao kwakweli itabidi sasa hivi nihamie saloon za sinza.
wakati unaingia wanakuambia 30,000/= ila humo ndani unachombezwa na nyongeza ya vikorombwezo pasi na kujua kwamba bili inapaa


