Kufanya scrub kuna shida yoyote kiafya?

hivi kwa scrub za kutumia carbornate soda na lemon inatakiwa ifanywe mara ngapi kwa week?au daily

matokeo jee yanachukua siku ngapi??
 
Ni ''bicarbonate of soda' na wanasema ifanyikwe maximum twice a week.

Hapo kweny matokeo nadhani inategemea tu na ngozi yako. Na kama utafanya consistently ama la.
hivi kwa scrub za kutumia carbornate soda na lemon inatakiwa ifanywe mara ngapi kwa week?au daily

matokeo jee yanachukua siku ngapi??

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…