kabanga
JF-Expert Member
- Dec 12, 2011
- 37,421
- 18,760
ngoja nikupe dau nikodemusly maana hapa hadharani huenda wenzio wakakuzidi kete
njoo pembeni basi....
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ngoja nikupe dau nikodemusly maana hapa hadharani huenda wenzio wakakuzidi kete
hivi kwa scrub za kutumia carbornate soda na lemon inatakiwa ifanywe mara ngapi kwa week?au daily
matokeo jee yanachukua siku ngapi??
Ni ''bicarbonate of soda' na wanasema ifanyikwe maximum twice a week.
Hapo kweny matokeo nadhani inategemea tu na ngozi yako. Na kama utafanya consistently ama la.
Sent using Jamii Forums mobile app
Shost za siku [emoji8][emoji8] miss you alot vipi chapati zipo uko lol?
Shosti una darubini? Niko likizo nimepika chapati, maharagwe mabichi ya nazi, wali mweupe wa kukaanga wa nazi na maini na chinese cabbage.
Karibu chapati lainii za kukusahaulisha ugumu wa maisha[emoji8][emoji8]
Sent using Jamii Forums mobile app
Tena nimewaza ivoo chapati maharage naja shosti wangu
nitakua naaply daily nimeaply three days only ila nimeshine vibaya mnooNi ''bicarbonate of soda' na wanasema ifanyikwe maximum twice a week.
Hapo kweny matokeo nadhani inategemea tu na ngozi yako. Na kama utafanya consistently ama la.
Sent using Jamii Forums mobile app