Kufanya tendo la ndoa kila siku kuna madhara kiafya?

Kufanya tendo la ndoa kila siku kuna madhara kiafya?

YANI IYO NI POA SANA ILA MUWE HATA NA SIKU MOJA YA HALFTIME TU, SIO KILA SIKU KAMA SUNGURA MAANA UKIENDEKEZA SANA KWA SISI WANAUME UTAZEEKA MAPEMA. "J'PILI MSIFANYE ASEE NI SIKU YA MAPUMZIKO, SHAURI YAKO." huu ni mtazamo wangu tu,kugegeda sana, huzeesha fasta hasa wanaume!
 
Huu mwandiko wako ni wa kike, hakuna madhara, kwa mamlaka niliyojikasimu nakuruhusu kufanya ata mara saba kwa siku, kingine?
 
Kama mnapata chakula cha kutosha, piga kazi mzee.

Ila mara moja moja mpumzike.
Kwa kazi hiyo jitahidi kwenda sawa na chakula cha kutosha.
 
Hakuna tatizo kama unapata lishe iliyokamilika. Kuna watu humu tena wamo kwenye ndoa walishalalamika na kutaka kuikimbia **** pale mke anapotaka kugegedwa kila siku mara mbili au tatu kwa siku.

Waku hamjambo,

Mimi napenda sana kufanya tendo la ndoa na mtu wangu yani kila siku haipunguwe mara 2. Usiku kimoja na asubuhi kimoja. Na enjoy sana nayeye pia ameshazowea. Je kiafya sio mbaya?
 
Back
Top Bottom