Kufanya usafi siku ya maandamano

Kufanya usafi siku ya maandamano

Umkonto

JF-Expert Member
Joined
Dec 27, 2018
Posts
2,652
Reaction score
4,593
Baada ya kauli mzee kuonya kile chombo kikubwa kilichobaki kisijiingize kwenye mambo ya kisiasa baada ya wadogo zao kuonekana wanatumika kisiasa japo wengi wao hawapendi bali ni kuagizwa tu.

Sasa, siku watu wale wakitangangaza maandamano, je, wale wakubwa watatangaza nao kufanya usafi?

Naona huu ni mtego kwa vgombo vya usalama. Utashi unabaki kwa wanasiasa ambao wanaweza kuamua kuacha kuvitumia vyombo vya usalama kwa sababu vyombo vinafuata malekezo yao.
 

Attachments

  • 5271422-05dbd5c2dc28318bbd4f13bc28f5bb2.mp4
    14.8 MB
Back
Top Bottom