Yoda
JF-Expert Member
- Jul 22, 2018
- 48,475
- 70,102
Mmekuwa walalamishi kama watoto wadogo
Wezi walioiba CCM na Serikalini ndio vinara wa kumsema vibaya Magufuli.Mungu yupo hajafa
Wezi wa mali za CCM na waliokwapua Pesa za umma kwa njia mbalimbali ziwe za moja kwa moja au tenda sasa hivi ndio vinara wa kuponda marehemu Magufuli
Wanaweza kujifanya kujisafisha waonekane wazuri mbele ya wananchi kwa laghai zao wakati ni uozo mtupu
Wakumbuke kitu kimoja Mungu hajafa kama Magufuli yuko hai anajua uovu wao vizuri sana na anajua cha kufanya
Waweza laghai wananchi na wakamdhihaki sana marehemu Magufuli huku wakikenua meno ila wakumbuke kitu kimoja Mungu.yuko hai hafi leo wala Kesho ambaye halaghaiwi wala hadhihakiwi na ndie mshika hatima za leo na Kesho na za kizazi vyao vya leo na Kesho.Awezae kujua awafanyie nini majizi na walaghai na vizazi vyao vya leo na Kesho
Kifupi wezi wote na walaghai mnaojitia kumponda Magufuli kesi zenu tunamwachia Mungu