Kufanyike nini sasa ili Hayati Magufuli achukiwe na wote? Naona waliokuwa wanamchukia wanabaki kuwa walewale

Mmekuwa walalamishi kama watoto wadogo
 
Katika Dunia/maisha hakuna kitu chochote kinachochukiwa na kila mtu hata kiwe Cha hovyo kiasi kama Magufuli vile!

Wanyiha wa Songwe wana kamsemo kao kwamba: "One man's terrorist is another man's freedom fighter"!

Sisi tunaomchukia Magufuli with a passion tunatosha, Masukumagang na mazuzu hata ufanye nini hawajielewi, tuwaache waendelee kumpigia makofi after all limeshakufa, tutachukia limzoga linateketea jehanamu huko milele mpaka lini? haina tija!
Tuliache liendelee kuungua limzoga lake! [emoji848]
 
Unaushahidi juu ya hili! Au leo umejivika ushetani huko jehanam ukiongoza jahazi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…