Kufeli kwa Kidato cha Nne: Watanzania msijidanganye hamhusiki ktk uwekezaji wa ujinga

Unajua si kwamba nakukwepa ila nataka epuka kuwa derailed kirahisi kutoka ktk lengo la msingi.Ingekuwa vyema kama ungechangia haraka kuhusu typing erros halafu ukawahi ktk lengo la msingi.

Au ungeanzisha threat ya kuongelea haya ili tukapeane majibu huko.Ila hapa nilishakuambia ni kuchafua thread.Ni kujionyesh ajinsi unavyoogopa mwanga, umezoea giza.So what is your intention.kM ni point naweza kupa ili upishe wengine waongee amabo yenye maana.

Wenzako wamelinda uovu na ujinga na wakaumia na baadaye wakapewa ujira.maisha yao yote wataumia wakijiangalia, na kujikuta bado wanamatumiakia aliayechezea miili yao, si bora mimi nipoteze uhai bila ku give in ktk ujinga ?

Kiranga nipo serious kuliko unavyodhani.Sasa unaniambia nini hapa?Kuwa nipo sahihi ujinga haupigwei vita na ujinga?Pengine ungerudia hotuba ya msigwa bungeni kuhusu ujinga, halafu kma dini yako inakuruhu pia soma "kauli ya Yesu kuhusu Shetani na utawala wake pale watu waliposema kuwa anatoa people kwa jian la people" Ujinga logically hauwezi toa ujinga .Sababu ni rahisi.:
-Ujinga nao unafight for survival.
-Pia ujinga hauwezi jibeba na kujiondoa.Apply Newtonian laws of physics.There should an external forces kusaidia kitu kubadili state of mortion au give a restin object a motion.

Tafuta msaada, hata huta achieve kitu zaidi ya ku demonstrate nilichosema.
 

Unaepuka kuwa derailed kwa kuanza kuji derail mwenyewe na presentation mbovu?

Kama ujinga haupigwi vita kwa ujinga acha ujinga. Kama kweli unataka kupiga vita ujinga.

Hilarious!
 
Unaepuka kuwa derailed kwa kuanza kuji derail mwenyewe na presentation mbovu?

Kama ujinga haupigwi vita kwa ujinga acha ujinga. Kama kweli unataka kupiga vita ujinga.

Hilarious!

Sikutaka tumia lugha kali tuu, nilitaka kuambia kuwa huna uwezo wa ni derail.Nadhani inatosha.Siwezi kujibu tena hizi posting zako zinazofanana kama maswali ya madirector wa maofisi ya serikali ya CCM wanapopata nafasi ya kuongea na wakabdarsi au wadaua wengine kabla ya kupitishwa au hata kufanyika kwa miradi ya kimaendeleo.Huwa wana michango ya naman yako na huwa wanakomaa nayo hadi muda unaisha mradi unapitishwa au kutoswa kwa vile vitu vy masingi havikuguswa.Nimeshuhudia wengi wakitaka jionyesha ni wajuaji kwa vitu wasivyovijua.Na mwishowe kuishia kupiga story za experience zao ktk nchi za watu na mengine.

Usijipe maujiko kuwa umeweza ni provoke.Kiranga kwanini usiende vaa nguo kwanza, zaidi ya kucheza michezo ya mazingaombwe hapa.
 
Aina moja ya kuwekeza katika ujinga ni kulazimisha kibatari kisichoweza kuandika kiweke post za ajabu JF.
Well, nilimpa ban ili akirudi awe amejifunza kuandika, sasa nashangaa hajabadilika. Nampa posts nyingine tano, akiendelea hivyo nampiga ban permanently
 
Well, nilimpa ban ili akirudi awe amejifunza kuandika, sasa nashangaa hajabadilika. Nampa posts nyingine tano, akiendelea hivyo nampiga ban permanently

Haha .I like IT, lakini sababu ya ban ni kwamba niliomba nifutwe kabisa.Na nilivyojaribu angalia kam aimefutwa nilikuwa nakuta sababu ikisema hivyo."Kama ulivyoomba".Ila sikupenda kwa vile sikuomba bani niliomba kufutwa.Na sababu ni predatory behavipur nilizokuwa nikizona.Sijui Ndio imeanza tena?Anyway ushauri wa bure..Msifanye JF km TBC..Au kujenga himaya ya closed minded People.

HIVI BAN SIKU HIZI NI GAME EHE?Plse let me know how to play it.Sikuwa napenda Kusema haya hadharani kwa vile si sehemu ya JF policy.Ila km mod mwenyewe kaivunja then na iman policy itakuwa imebadilika.
 
Well, nilimpa ban ili akirudi awe amejifunza kuandika, sasa nashangaa hajabadilika. Nampa posts nyingine tano, akiendelea hivyo nampiga ban permanently

Ningesema peke yangu wengine wangeweza kusema "that's just Kiranga being Kiranga".

Kumbe kuna watu washaona madudu hata kabla sijaingia kwenye huu mjadala.
 

Hivi wewe unaweza hata kusoma unachoandika?

Utapiamlo wa akili mtupu.
 
Ningesema peke yangu wengine wangeweza kusema "that's just Kiranga being Kiranga".

Kumbe kuna watu washaona madudu hata kabla sijaingia kwenye huu mjadala.

Tatizo mna hiden agenda..Sijui mnahofia nini.Niishasema natumia simu ambayo si friendly kihivyo.Kutokana na aina ya media na discussion hilo haliwezi kuwa issue.Issue ni thread na kilichoandikwa.Hapo nadhani hupapendi ndio maana mkastage attacks ili kuziba midogo watu.Its unlucky unataka thibitisha kuwa mpo wengi wenye fikra kama zako.

I can imagine...how severe things are in our country.
 
Hivi wewe unaweza hata kusoma unachoandika?

Utapiamlo wa akili mtupu.
To be Honest sijui kwanini mnatoka povu hivi?Kwanini msianzishe thread ya kulalalmikia uandishi mbovu.tena niweke mimi kama mfano.Wala sitalalama.Otherwise napata wasiwasi km na wewe si victim wa elimu ya kiuwendawazimu na harakati za giza ktk hii nchi.
 

Hidden agenda gani? Unaposema "mna" unamkusudia nani?

Nani kasema presentation is not an issue? Kusema presentation is not an issue ndio ujinga wenyewe, sasa wewe unapiga vita ujinga kwa ujinga mwingine wa kusema "presentation is not an issue"!

Ndiyo maana nasema huwezi kupiga vita ujinga kwa kutumia ujinga.

Issue ni thread na kilichoandikwa? Kilichoandikwa kama kimeandikwa fyongo unachanganya watu, issue inajikanganya na kupewa mikingamo mingi ya presentation isiyohitajika.

Kama watu wapinga ujinga wenyewe ndio kama wewe severity ya matatizo yetu inaanzia na wanaopinga ujinga kwanza, kabla hata hatujaenda kwa wajinga wasiopinga ujinga.
 
To be Honest sijui kwanini mnatoka povu hivi?

Povu anatoka nani? Mie ninayekucheck wewe na ujinga wako au wewe usiyeweza kujikimu?

Kwanini msianzishe thread ya kulalalmikia uandishi mbovu.

Kwa nini nianzishe thread nyingine kuzungumzia uozo ulio katika thread hii?

tena niweke mimi kama mfano.

Kwa nini nihitaji kuanzisha thread nyingine na flow nyingine wakati tayari tuna thread na flow hapa?

Wala sitalalama.

Kama umelalama katika thread hii kwa nini usilalame kwenye thread hiyo?

Otherwise napata wasiwasi km na wewe si victim wa elimu ya kiuwendawazimu na harakati za giza ktk hii nchi.

Kati ya wewe usiyeweza kuandika na mimi niliyeona hilo nani ni victim wa elimu ya kiuwendawazimu?
 

Wewe na aliyesema alipiga ban.Na wewe ukaongezea kuwa si wewe mwenyewe.Hembu tembe JF kote uone , jinsi gani kuna typos.Halfu ujiulize kwanini una interest na yangu hadi ukapost yote haya wakati nimekupa jibu honest tuu.Mpaka sasa huna cha kuchangia ktk ujinga ulilifikisha taifa hapa bado unakomaa na obvious things.

Nashukuru kuzidi jidhihirisha kwa mengi.typos si mimi tuu ninazo.Hata waandishi mahiri kama akina MZEE Mwanakijiji anazipata pia ingawa si kwa kaisi kikubwa.Halfu pia kaulize wasomi kama typos ni ujinga,

Hii ni free writing ambayo inakuwa very loose,Mzee mwanakijiji huwa anaandika vitu vyema sana hata kama siafiki themes zake, kwa vile pia huwa anakuwa na vionjo vinavyotoke akataka vitabu vyake tofauti na mimi.Vitabu mara nyingi huuusisha editors, uangalifu pia huwa mkubwa ktk uandishi zaidimaka ilivyo ktk maudhui.

Sijui nikusaidiaje ndugu yangu ktk hili.
 

Typos ni mwanzo tu wa uharo wako, si afadhali ungekuwa na matatizo ya typos tu tungeweza kuapply Claude E Shannon's paper "A Mathematical Theory of Communication" tuka fill in the gaps.

You have a bigger issue with coherence that makes the typos issue pale in comparison.

Unatetea kutumia ujinga kukandya ujinga.
 

kwa mindeset yako ilivyo ni ngumu kuelewa vitu vidogo,kwani akili yapo ipo ktk unachikitafuta.

Nimekuambia anshisha thread ingine inyotrack typos na si mbaya ukianza na mimi.Sasa Kama huelewi na hili nikusaidie vipi.Typos ni errors si ujinga.Sasa error zinaweza kuwa uzembe , bahati mbaya kwa vile binadamu si perfect, au hata vifaa vitumikavyo vinachangaia, mara nyingine inaweza kuwa coordination ya brain na mikono si nzuri , hasa kama brain inafanya kwa speed kuliko mwili N ahivyo kufanya presentation ambayo si kama ilivyotengenezwa na ubongo.

Hii haiwezi kwa vyovyote kusaidia kulinganisha corrupt mindset yako iliyosababaishwa na ujinga unaongelewa hapa na midset za wengine. Tatizo la coordination haliwezi linganishwa na corrupt knowledge.Watu wenye akili above average au wanasoma kitu wanachokielewa wanaweza tambua sentensi nyingi hata kama kuna neno zima linamiss achilia mbali herufi mojamoja zinazokushinda.
 
Kiranga:Mataifa huwa yanaendelea si tu kw akujua makosa.Bali kw akuyaju amakosa, kuyafanyia kazi na kutokwama hapo.Sasa kama wewe typos tuu umekwama ktk gari lilikwamba ktk tope la njia ya sumbawanga enzi zile.Ni vipi utaondoka uwahi kusoma millions of documents ktk dunia na nyingine hutakuwa n amuda wa kurudia ili ukariri kama walimu wako na wewe mwenyewe.
 

You have a bigger issue with coherence. Far and above typos, as explained above.

Ingekuwa typos tu mbona tunge unzip tu hata kama kwa forensic methods.

Tatizo siku hizi kila Tom Dick and Juma ni commentator.

Mradi JF haina kodi ya maneno.
 
Kiranga:Mataifa huwa yanaendelea si tu kw akujua makosa.Bali kwa kuyajua makosa, kuyafanyia kazi na kutokwama hapo.Sasa kama wewe typos tuu umekwama km gari lililokwama ktk tope la njia ya sumbawanga enzi zile.Ni vipi utaondoka uwahi kusoma millions of documents ktk dunia na nyingine hutakuwa na muda wa kurudia ili ukariri kama walimu wako na wewe mwenyewe.
 

Umekazania typos wakati mimi nimekueleza matatizo makubwa zaidi ya coherence.

Sasa kati yangu na wewe nani "kakwama" katika typos hapa?
 

Pengine kukutoa ghadhabu na kukupa respect hembu kuwa mtu mzima kidogo halafu u elaborate yote unayoyaon kuw ani uharo kuliko kufuka povu tuu.naomba uwe straight hapa usiwe kama wale waliopiga u-turn walipofikia kuelez mabilioni ya uswizi
 
Pengine kukutoa ghadhabu na kukupa respect hembu kuwa mtu mzima kidogo halafu u elaborate yote unayoyaon kuw ani uharo kuliko kufuka povu tuu.naomba uwe straight hapa usiwe kama wale waliopiga u-turn walipofikia kuelez mabilioni ya uswizi

First of all ghadhabu ikiniona yenyewe inapata gadhabu kwa sababu haiwezi kunifikia.

Kwa hiyo kama kweli unataka kunipa respect, futa kauli ya "kunitoa gadhabu".
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…