Kufeli kwa Kidato cha Nne: Watanzania msijidanganye hamhusiki ktk uwekezaji wa ujinga

Kufeli kwa Kidato cha Nne: Watanzania msijidanganye hamhusiki ktk uwekezaji wa ujinga

sarufi yako ni sifuri, huna kiswahili fasaha, ninaamini u miongoni mwa waliopata elimu duni. pole sana.
 
Specifics zipi tena ndugu yangu km huwezi hata jibu kilichokuingiza ktk huu ubishi.

Nimekupa post yangu ya kwanza kwenye thread hii, kitu cha kwanza nilichoandika ni kwamba umejishoboa.

Hujaiona? Hujui kusoma?

Mengine yakaendelea kutoka hapo.
 
Nimekupa post yangu ya kwanza kwenye thread hii, kitu cha kwanza nilichoandika ni kwamba umejishoboa.

Hujaiona? Hujui kusoma?

Mengine yakaendelea kutoka hapo.

kwanini usianzishe thread yako ya kumwaga pumba na cyclic reasoning kadiri uwezavyo.
 
Back
Top Bottom