Kufeli kwa Kidato cha Nne: Watanzania msijidanganye hamhusiki ktk uwekezaji wa ujinga

First of all ghadhabu ikiniona yenyewe inapata gadhabu kwa sababu haiwezi kunifikia.

Kwa hiyo kama kweli unataka kunipa respect, futa kauli ya "kunitoa gadhabu".

Umeanza cyclic reasoning tena ndugu yangu.Nilijua nikiswitch ghafla hutakuwa na jipya.Utatafuta sababu nyingine ili nianze kutongoza kujibu mambo mepesi sana ambayo nilidhani utakuwa ukiyajua ndio maana umepoteza muda sana kujaza junks humu.Huna tofauti na magamba na vile vizee vichawi ktk miji vinavyoitwa vizee vya chama huwa vitaishi kwa threat, na kudaia vinajua historia kwa hiyo dunia isitembee bila wao.Ho back to hell.

Kukupa respect ni kukuoa nafsi ujieleze na si kuku appease wewe mtu, sasa naona umeshaanza bweteka na kudai an extra inch.Zaidi unazidi thibitisha kitu ambacho unakitafuta.Hizi predatory Behaviours kwa ajili ya kulinda magamba hazitawasaidia sana.Sasa mnataka ifanya JF kuwa TBC?Fanyeni kazi kwa bidii.
TBC imebaki skeletoni tuu sasa hivi.Utadhani Hata hawavumi ya enzi hizo ITV ilikuwa juu kuliko kila kitu cha TBC ya leo
 

Huwezi kunipa respect kwa kusema nina gadhabu.

Coherence please.
 
Huwezi kunipa respect kwa kusema nina gadhabu.

Coherence please.

Nakupa pleanty of time jaza unaweza fikiri au kusaidia kukutoa ktk hii cyclic reasoning project.Nitasoma next time km nitapita tena.Pia mwambie partner wako au wewe mwenyewe apige ban.

Siwezi kupa respect zaidi ya kukupa haki yako ya kujibu maswali muhimu ukiwa na akili timamu na nia thabiti.Na hilo naweza fanya kwa kukupa nafasi ya kuelewa ulichokuwa unag`ang`ania sana.Sasa unaanza leta issue za Zitto hapa na mabilioni ya Uswisi.Sasa unamwekea naia conditions.Umesahau kuw auemingine usichokijua?Nao unataka hijack thread?Hizo kafanya kule simba na Yanga na FATa ya akina Ndolanga na Rage.

Unanikumbusha mbali, na hiyo bunch bado ipo at alarge ktk CCM.Hembu kaprocess ban au weka hoja zako.Mengine ya kubembeleza ujinga sahau kwangu.
 

Wewe thread yako mtu asiyeitaka hata hahitaji kui hijack.

Maana unai hijack na kui sabotage mwenyewe kwa gobbledygooks zako.
 
Wewe thread yako mtu asiyeitaka hata hahitaji kui hijack.

Maana unai hijack na kui sabotage mwenyewe kwa gobbledygooks zako.

mbona porjo nyingi huna cha kusema na kelele zote zile?Au bado unaota muondoa Dr. Ndalichako ili mkapitishe wasiojua kusoma tena waende secondary na kukutana na mitihani wanayoamua piga zero na matusi. Hamjamchora Pengo Kweli?Mnamwona kama Nightmare vile.


Hembu Jikazo kidogo basi uandike hata kitu cha kukupa heshima.Nimesubiri sana,sikupaswa kuwa online hadimida hii.
 

Kwa posts kama hizi hata hao wanaotaka kuendeleza ujinga kweli hawahitaji kumuondoa Dr. Ndalichako.

Wanahitaji Nicholas aendelee ku permeate JF na ujinga wake tu mpaka ujinga uonekane ni kitu cha kawaida.
 
Kwa posts kama hizi hata hao wanaotaka kuendeleza ujinga kweli hawahitaji kumuondoa Dr. Ndalichako.

Wanahitaji Nicholas aendelee ku permeate JF na ujinga wake tu mpaka ujinga uonekane ni kitu cha kawaida.

Bado nakubeba, kw akukupa muda wa zaidi ili nikusikie hata kama umebaki na kaharufu ka sababu za msingi za pofu kukutoka hivyo. Halafu sasa hivi umehamisha sababu ,mara unataka nikutongoze ili ujitete.Sijui utawezaje kuwa rational.

Kiranga hadi sasa umeshaanza nithibitishia kuwa ni wa il enyumba iliyokuwa inataka mapinduzi ya kila kitu ktk hii nchi.Inaelekea ndio maturity best education mliyokuw amkiota.Nataka wapelekea kanisa proposal ili nao waandae mitihani yao itakayokwenda na ya taifa.Ili watoe vyeti vyao pia mwajiri achague ananunua nini ktk soko la ajira.haitapita mwaka utaona kilio tena kuwa hata waajiri wa kundi lenu nao watakwenda fanya shopping ktk labour market ingine.

Na wewe ukienda wapigia tumba wengine ktk gahawa unajiita intellectual?pengine nao watakuwa wakikuita hivyo km upo fit kuibua conspiracy yoyote unayoidaka ktk net.As long as ainaweza sema JK haina shida ila watenjadi wake, au anafanyiwa hivyo kwa sababua si mgalatia, kidogo na pengo, kidogo na freemason, and the sort.lazima uwe intellectual ktk huo ulimwengu.

Ninachosikitika ni kwmaba hizi rumors na imaginations zimepata nafsi san akiasi cha kuharibu elimu yetu, n ajamiizetu.Tofauti ya fact na gossip imekuwa too bleak.
 

Nimeshakwambia you lack coherence. Unakashifu ujinga kwa kutumia ujinga.

You write too much but you don't say a thing.

Unaweza kunipa kwa kifupi, the jist of your rants and your cosmogony?

Coherently please.
 
Nimeshakwambia you lack coherence. Unakashifu ujinga kwa kutumia ujinga.

You write too much but you don't say a thing.

Unaweza kunipa kwa kifupi, the jist of your rants and your cosmogony?

Coherently please.
Umeingilia thread kwa mbwembwe,nikakupa majibu kwa uaminifu kabisa. Ukaleta vituko na ujuaji wa giza,nikakupa kwa kukupa nafasi ya kujieleza pengine ungetoa maelezo ya msingi.ukaanya tena kuja na masharti huku ukitaka utongozwe kujibu.
Kwa nini usisepe kuliko kupla kamikaze hapa,sasa kama hukujiandaa kwa lolote hata distractions za nini?we mchawi au uzao wa hell?tukukemee.
 

"Vituko vya ujuaji wa giza" ndo vikoje?

"Nikakupa kwa kukupa nafasi ya kujieleza" ndiyo kitu gani?

Wewe utanipaje nafasi ya kujieleza katika free forum?

Hilarious fluff.
 
"Vituko vya ujuaji wa giza" ndo vikoje?

"Nikakupa kwa kukupa nafasi ya kujieleza" ndiyo kitu gani?

Wewe utanipaje nafasi ya kujieleza katika free forum?

Hilarious fluff.
whatever you say, unasahau kitu kimoja.Hujajibu hoja ulizokuwa unadai unazo.Sasa unapojiona kuwa sikuwa na uwezo wa kukupa nafasi basi utakuwa una upungufu wa akili.Kurudi kwangu ktk point na kukutaka useme ulichoona ni shida zaidi ya spelling check ambayo ndio shughuli unadhani ina kudefine kama GT,ndio kukupa nafasi huko.Naona bado unazunguka mbuyu tuu.

Hembu kua mtu mzima kidogo uongee sense hapa.
 
kwa taswira ya nchi yenye wanasiasa uchwara,wanasiasa wanaogopa maswali kuliko kuua,kwa taswira hii walimu waliopatikana kwa kufeli kwanza, kwa taswira hii ya wakufunzi na wasomi km rwaitama kujichekesha kwa balozi wa nchi nyingine km alivyofanya kwa balozi wa iran huku wakiipamba hadi balozi akawa anashangaa na haoni pa kuchekea.badala ya kumbana hadi aonyeshe kuwajibika ktk masuala ya mahusiano yetu na wao.
Kwa taswira hii ya mzee km makwaia kuita watu ktk dansi yake na irani huku porojo zote zikibeba dini yake huku akiwapinga vibaya wasio dini yake kwa gia ya ujamaa na mabeberu.Ni wazi kufeli kwa watoto na wadogo zetu ni mchango wa ujinga wa makundi mengi..
 
Mleta mada unahitaji msaada wa kisaikolojia si bure vipi una frustration ya maisha hauna hata moja la kusema nini kifanyike zaidi ya lawama zisizo za msingi zilizojaa chuki na hasira hebu jifunze kuchambua,kuchanganua, na jinsi ya kuainisha na kuiweka hoja.
 
Kwa asiyekuwa frustrated kwa mambo zanayoendelea atakuwa na ganzi ya ubongo na milango yote ya fahamu.Frustration si evil km unavyodhani.
Si kila problem anaegundundua ni lazima awe na jibu au njia mbadala.kuna mamia ya consultants ktk nchi hii ndio wanapaswa fanya kazi fields zao.
Km psychologists hawakuwa wanajua kuwa jamii ina shida hiyo basi wajue hilo,sociologists,philosophers,lawyers,na wengine wangewajibika wangeshape jamii yetu kabla hatujafika hapa.
Sijui mchangiaji ulitaka niwe mjuaji ktk kila nyanja?umejiuliza kwanini akili ilikupa hofu ya kufikiri solution badala yake uka-stage attacks bila hata aibu?ktk maisha kuna vitu hata visivyo na uhai vinavyoweza point out problems.sijui navyo vina frustrations?mf.sijui km taa ktk dashboard inayooyesha kuna mlango haujafungwa,mara zote inakuambia mlango gani na solution ni nini?Masuala ya nchi yanahitaji tafiti kujua ukubwa wa tatizo lilionekana ,na njia sahihi za kutatua na uwezo wa nchi pamoja na vipaumbele vingine.
Nadhani tumeanza elewana.Nadhani wewe ndio unahitaji msaada.kuenesha nchi si familia,tatizo km kuketa likigudulika kuj familia ni tofauti na ktk nchi.kusolve ktk familia baba anaweza maliza ila ktk nchi ni complicated Hata rais hawezi maliza..vuta matat4zo mengine uone shida ya watanzania wanaomfagilia jk ktk mafanikio fulani fulani.
 
sijui ulikuwa ukifikiri nini hapa.Kuambiwa ukweli ni kukosewa heshima?

Ukweli ni nini? Utaujuaje?

Utakachoona gadhabu wewe mwenzio ataona ni "a much needed tough love stance"

Atakayeniambia ukweli ama ataniambia ananiheshimu, ama ataniambia nina gadhabu baada ya kufanya uchunguzi wa kina na kujiridhisha kwa hilo.

Hawezi kuniambia ananiheshimu halafu hapohapo akanitupia kijembe kwamba nina gadhabu. That is a contradiction. Unaowaheshimu huwatupii vijembe vya jumlajumla, unaowatupia vijembe vya jumlajumla huwaheshimu.
 

ni wewe tuu na akili yako,kukuheshimu mtu hakukufanyi wewe uwe huna ghadhabu.
 
ni wewe tuu na akili yako,kukuheshimu mtu hakukufanyi wewe uwe huna ghadhabu.

Hata baada ya twisheni bado hujaelewa?

Labda ni kweli mimi nina ghadhabu, lakini anayeniheshimu atataka kuchunguza na kuuliza kabla ya kubwatuka tu kwamba nina gadhabu, kwa sababu tushaona hapo juu kwamba kitakachoonekana ukatili kwa mtu mmoja ni jando la umahiri kwa mwingine.

Sasa huyu anayerukia kusema "gadhabu" tu bila hata uchunguzi, si tu hawezi kusema ananiheshimu mimi.

Hawezi hata kusema anajiheshimu yeye mwenyewe.
 

watu kama nyie ni sehemu ya huu ujinga.Mmeadilute sana hii nchi.Ujinga wenu,kutokuwa na malengo,kupotosha watu huku mkiwa mmepotoka ni shida zaidi ya dhambi.
 
watu kama nyie ni sehemu ya huu ujinga.Mmeadilute sana hii nchi.Ujinga wenu,kutokuwa na malengo,kupotosha watu huku mkiwa mmepotoka ni shida zaidi ya dhambi.

Na watu kama wewe mnaotaka majibu mepesi mepesi ndiyo sehemu ya ujanja?

Nimedilute nchi kivipi? Kama mimi ni mjinga, sina malengo, mpotoshaji etc basi wewe ni zaidi yangu.

Ni mjinga zaidi kwa sababu umeshindwa kuonyesha ujinga wa mjinga, umebaki kusema kijumla tu.

Ni mpotoshaji kwa sababu umenifanya mimi mjinga kuonekana mjanja bila sababu.

Huna malengo yanayoeleweka kwa sababu mpaka sasa hueleweki.

Shida haiishi hadi siku ya mwisho kaimba Mbaraka.

Na dhambi ni kumsema mwingine ana dhambi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…