ipogolo JF-Expert Member Joined Aug 15, 2011 Posts 6,280 Reaction score 5,979 May 31, 2013 #81 sarufi yako ni sifuri, huna kiswahili fasaha, ninaamini u miongoni mwa waliopata elimu duni. pole sana.
sarufi yako ni sifuri, huna kiswahili fasaha, ninaamini u miongoni mwa waliopata elimu duni. pole sana.
Kiranga Platinum Member Joined Jan 29, 2009 Posts 78,790 Reaction score 128,275 May 31, 2013 #82 Nicholas said: Specifics zipi tena ndugu yangu km huwezi hata jibu kilichokuingiza ktk huu ubishi. Click to expand... Nimekupa post yangu ya kwanza kwenye thread hii, kitu cha kwanza nilichoandika ni kwamba umejishoboa. Hujaiona? Hujui kusoma? Mengine yakaendelea kutoka hapo.
Nicholas said: Specifics zipi tena ndugu yangu km huwezi hata jibu kilichokuingiza ktk huu ubishi. Click to expand... Nimekupa post yangu ya kwanza kwenye thread hii, kitu cha kwanza nilichoandika ni kwamba umejishoboa. Hujaiona? Hujui kusoma? Mengine yakaendelea kutoka hapo.
Nicholas JF-Expert Member Joined Mar 7, 2006 Posts 25,260 Reaction score 7,204 Jun 3, 2013 Thread starter #83 Kiranga said: Nimekupa post yangu ya kwanza kwenye thread hii, kitu cha kwanza nilichoandika ni kwamba umejishoboa. Hujaiona? Hujui kusoma? Mengine yakaendelea kutoka hapo. Click to expand... kwanini usianzishe thread yako ya kumwaga pumba na cyclic reasoning kadiri uwezavyo.
Kiranga said: Nimekupa post yangu ya kwanza kwenye thread hii, kitu cha kwanza nilichoandika ni kwamba umejishoboa. Hujaiona? Hujui kusoma? Mengine yakaendelea kutoka hapo. Click to expand... kwanini usianzishe thread yako ya kumwaga pumba na cyclic reasoning kadiri uwezavyo.