BabaDesi
JF-Expert Member
- Jun 30, 2007
- 6,122
- 4,060
...Inauma. Pesa ambayo ingewasaidia kwa namna Fulani wanaijeria wanayohusika nayo imeishia kueasaidia Waswisi...kwa sababu tu ya Ujinga na Uroho wa Viongozi wake!Anachokifanya Zitto ni michezo ya kisiasa hana mandate yeyote ya kudai zile pesa wala kuzirudisha sio zake hana asili nazo na hajaweka yeye! Yeye ni political opportunist anayejua vema udhaifu wa media za Tanzania! Hazihoji zinaandika tu kwakuwa kaongea Fulani
Utaratibu ni mgumu mno jamani na wenye gharama kubwa! Imagine Sani Abacha alithibitika pasipo shaka kuwa aliweka mabilioni kule lakini kuipata ile pesa Wanaigeria wameisotea kwa miaka 16!!!! Umri wa mtu huo, MIAKA 16; SIO MIAKA 6
Hivi kwa nini we we no kiongozi unayefanya mema kwa wananchi unaowaongoza kwa nini had I ufikie pa kujiona kuwa una Haki ya kuwaibia Wananchi wako na kutunza hela za wizi wako kwenye Mabenki ya Nje??