Kuficha pesa Uswisi, ujinga wa kiwango cha juu

Kuficha pesa Uswisi, ujinga wa kiwango cha juu

Pesa nyingi huishia mikononi mwao, ni pesa ya wizi kwahiyo hata kuhifadhi kwake ni kwa siri
Pesa ya Uswisi Haina mrithi
Signatory ni mmoja tu (muwekaji)
Haina mashahidi
Hizi pesa nyingi huishia huko huko kama mmiliki akifa au akifungwa

Na ikitokea nchi husika ikajua kuwa kiongozi/viongozi wake wameficha hela huko na wakadai hiyo hela utaratibu wake was kuipata nao ni mgumu mno tuneyaona kwa Sani Abacha wa Nigeria na wengineo
 
Kwa na project hii kama nchi ni akili. Wanapata ukwasi kwa tabia mbaya za watu. Watu wenye tabia mbaya wanatengeneza pesa sana ni ujanja kujua kula pesa zao.
 
Kwa na project hii kama nchi ni akili. Wanapata ukwasi kwa tabia mbaya za watu. Watu wenye tabia mbaya wanatengeneza pesa sana ni ujanja kujua kula pesa zao.
Lalkini mwisho wa siku yote ni ubatili mtupu
 
Back
Top Bottom