johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Hakuna mwanasiasa ataacha kumsifia Shujaa Magufuli wakati wa kuomba kura 2025.
Siyo wa CCM wala Upinzani kura zimebebwa na Nyota ya Magufuli.
Wale wajanja wameanza mapema na wataongezeka zaidi na zaidi.
Yesu akawaambia wale wanafunzi kamwambieni Johnthebaptist kuwa Viwete wanatembea na Vipofu Wanaona Wafu wanafufuliwa na Maskini wanahubiriwa habari njema Luka 7:22
Mbarikiwe sana!
Pia soma
- Zitto amsifia Hayati Magufuli kuleta nidhamu ya kazi kwa kipindi chake