johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Lisu atazuru Chato kuweka taji la maua!We mzee Mgaya Mambo ya siasa hujui kitu.
Uko sahihi,maana laana ya kumchafua inaanza kuwaumbua!Hakuna mwanasiasa ataacha kumsifia Shujaa Magufuli wakati wa kuomba kura 2025.
Siyo wa CCM wala Upinzani kura zimebebwa na Nyota ya Magufuli.
Wale wajanja wameanza mapema na wataongezeka zaidi na zaidi.
Yesu akawaambia wale wanafunzi kamwambieni Johnthebaptist kuwa Viwete wanatembea na Vipofu Wanaona Wafu wanafufuliwa na Maskini wanahubiriwa habari njema Luka 7:22
Mbarikiwe sana!
Pia soma
- Zitto amsifia Hayati Magufuli kuleta nidhamu ya kazi kwa kipindi chake
Utajua mbele ya safari!Sidhani kama Kuna jipya lolote maana hata wewe unajua hakuna
Mataga oyeeee! Furaha yenu ni kuona siku moja watanzania wote wanakiri kuwa Magu ni mungu kama alivyokuwa mungu kwenu. Sisi watanzania tushasema hapana. Tusilazimishane.Hakuna mwanasiasa ataacha kumsifia Shujaa Magufuli wakati wa kuomba kura 2025.
Siyo wa CCM wala Upinzani kura zimebebwa na Nyota ya Magufuli.
Wale wajanja wameanza mapema na wataongezeka zaidi na zaidi.
Yesu akawaambia wale wanafunzi kamwambieni Johnthebaptist kuwa Viwete wanatembea na Vipofu Wanaona Wafu wanafufuliwa na Maskini wanahubiriwa habari njema Luka 7:22
Mbarikiwe sana!
Pia soma
- Zitto amsifia Hayati Magufuli kuleta nidhamu ya kazi kwa kipindi chake
Mkuu,Mataga oyeeee! Furaha yenu ni kuona siku moja watanzania wote wanakiri kuwa Magu ni mungu kama alivyokuwa mungu kwenu. Sisi watanzania tushasema hapana. Tusilazimishane.
Hayo mambo yenu ya legacy bakini nayo nyie sukuma gang. Siyo agenda ya watanzania wote.
Kaa nafasi ya Lisu A to Z ungefanya hivyo??Lisu atazuru Chato kuweka taji la maua!
Ukweli' utakuja kumuweka Huru!Kaa nafasi ya Lisu A to Z ungefanya hivyo??
Sio tu mkuki kwa nguruwe unafūrahi....
Kama viongozi wako Wakuu (Lissu na zito) wameukubali muziki, wewe KENGE JIKE ni nani?Mataga oyeeee! Furaha yenu ni kuona siku moja watanzania wote wanakiri kuwa Magu ni mungu kama alivyokuwa mungu kwenu. Sisi watanzania tushasema hapana. Tusilazimishane.
Hayo mambo yenu ya legacy bakini nayo nyie sukuma gang. Siyo agenda ya watanzania wote.
Aliyemtwanga Lissu Risasi ni yule aliyemuua CHACHA WANGWE.Kaa nafasi ya Lisu A to Z ungefanya hivyo??
Sio tu mkuki kwa nguruwe unafūrahi....
Wanaoona Magufuli alikuwa mwema ni kwasababu ya kutokuelewa mambo.Hakuna mwanasiasa ataacha kumsifia Shujaa Magufuli wakati wa kuomba kura 2025.
Siyo wa CCM wala Upinzani kura zimebebwa na Nyota ya Magufuli.
Wale wajanja wameanza mapema na wataongezeka zaidi na zaidi.
Yesu akawaambia wale wanafunzi kamwambieni Johnthebaptist kuwa Viwete wanatembea na Vipofu Wanaona Wafu wanafufuliwa na Maskini wanahubiriwa habari njema Luka 7:22
Mbarikiwe sana!
Pia soma
- Zitto amsifia Hayati Magufuli kuleta nidhamu ya kazi kwa kipindi chake
Kaa nafasi ya Lisu A to Z!; Halafu utupe mrejesho fanya hivyo??Ukweli' utakuja kumuweka Huru!
Mumeo siyumbishwagi legacy uchwara. Understand?Kama viongozi wako Wakuu (Lissu na zito) wameukubali muziki, wewe KENGE JIKE ni nani?
Shujaa kwakoHakuna mwanasiasa ataacha kumsifia Shujaa Magufuli wakati wa kuomba kura 2025.