Mataga oyeeee! Furaha yenu ni kuona siku moja watanzania wote wanakiri kuwa Magu ni mungu kama alivyokuwa mungu kwenu. Sisi watanzania tushasema hapana. Tusilazimishane.
Hayo mambo yenu ya legacy bakini nayo nyie sukuma gang. Siyo agenda ya watanzania wote.