Kufikia mwezi wa 12, nitafunga kibanda cha M-PESA

Yaani hasara nimemuajiri mtu ninamlipa bado wateja wachache sana tofauti na kabla, sasa nimeweka interval hadi December kama hawajafanyia kazi bye bye
AFU UTASKIA BADO LIMTU LINASEMA "YANI MI NA CCM DAMDAM YANI" WATANZANIA AKILI ZENU ZIPO KICHWANI AU WAPI? LAH!!!!

NA WATU BADO WAKIAMBIWA KATIBA MPYA NI MUHIMU BADO TU HAWAELEWI SOMO. HIVI WATANZANIA KWANINI MNAKUWA WALAINI WA KUPELEKESHWA AU MPAKA MSHIKWE MACHONI KA MAMBA NDO MCHUKUE HATUA.

KATIBA MPYA NDO DAWA YA MABEBERU YA CCM.
 
AAAAWf.jpg
 
Karibu ccm tuitafune nchi babu, tz ni shamba la bibi hakuna mwenye habari nayo, ni mwendo wa kujilia tu utakavyo.
 
Back
Top Bottom