Kufilisika Kisiasa, Kijamii na Kiuchumi ni Fedheha sana katika jamii ndugu zangu wadau wa JF

Tlaatlaah

JF-Expert Member
Joined
May 18, 2023
Posts
51,453
Reaction score
41,274
Ushuru wa Crown tu unamshinda kulipia mtu aliewahi kua mbunge na badala yake anapiga mayowe na makelele mitandaoni?

Kuna anachoweza sasa kama kiasi kidogo tu kinamshinda kulipa? Asijifiche wala kuwasingizia vijana, alipe kodi na ushuru bana mambo yaishe.

Hivi alipokua mbunge,
anatembelea V8 ya milioni mia4 bila ushuru, alidhani ndio kamaliza maisha sio na hakujua kwamba hata staleti inalipiwa kodi na ushuru, ukiachilia mbali hiyo Crown iliomshinda kulipia ushuru?
Alikua hajui kuna kodi na ushuru waTanzania wanaoendesha magari mijini na vijijini wamelipia, na hizo kodi na ushuru ndio zikajenga barabara nzuri za lami kote nchini?

Huenda ni kwasababu hakua bungeni kwa maslahi ya wananchi bali maslahi binafsi, ndiko kulikomfanya asahau kufuatilia mambo muhimu kama kodi na ushuru ambao unamshinda kulipa hivi sasa.

Tutumie vizuri fursa na nafasi tunazopata katika jamii.
Maisha hayana extra time. Kutoka V8 hadi Crown.

Kakope na ulipe kodi na ushuru ili hatimae uchukue Crown yako acha kupiga mayowe na makelele ndugu debe tupu.

Mungu Ibariki Tanzania.
 
Mtoa maada uko sahihi, Maisha hayana muda wa Ziada. Watu tunajisahau, do maana matajiri ni wachache na masikini ni wengi.

Mtu anapata cheo ananyanyasa wa chini yake, siku mambo yameenda kombo do anaanza kutia huruma.

Kama wewe sio mtu wa kurithika una asilimia 50 ya kuwa tajiri, 50 zingine kwenye nidhamu ya maisha.
 
inashangaza sana,
mtu alikua mbunge tena muongeaji kweli na hakua anajua kodi na ushuru wanaotosza wenye magari yao mitaani mpaka anapokuja kushindwa kulipia ushuru wa gari lake mwenyewe, eti ndio anajua ni ghali sana.

inasikitisha sana, inafedhehesha sana,
ni muhimu sana kua na nidhamu ya maisha lakini pia kutosahau wengine kwamba nao wanaishi.

kuridhika ni ishara ya kujali na kuishi maisha marefu na mema sana
 
Ushuru wa Crown tu unamshinda kulipia mtu aliewahi kua mbunge na badala yake anapiga mayowe na makelele mitandaoni?

Kuna anachoweza sasa kama kiasi kidogo tu kinamshinda kulipa? Asijifiche wala kuwasingizia vijana, alipe kodi na ushuru bana mambo yaishe.

Hivi alipokua mbunge,
anatembelea V8 ya milioni mia4 bila ushuru, alidhani ndio kamaliza maisha sio na hakujua kwamba hata staleti inalipiwa kodi na ushuru, ukiachilia mbali hiyo Crown iliomshinda kulipia ushuru?
Alikua hajui kuna kodi na ushuru waTanzania wanaoendesha magari mijini na vijijini wamelipia, na hizo kodi na ushuru ndio zikajenga barabara nzuri za lami kote nchini?

Huenda ni kwasababu hakua bungeni kwa maslahi ya wananchi bali maslahi binafsi, ndiko kulikomfanya asahau kufuatilia mambo muhimu kama kodi na ushuru ambao unamshinda kulipa hivi sasa.

Tutumie vizuri fursa na nafasi tunazopata katika jamii.
Maisha hayana extra time. Kutoka V8 hadi Crown.

Kakope na ulipe kodi na ushuru ili hatimae uchukue Crown yako acha kupiga mayowe na makelele ndugu debe tupu.

Mungu Ibariki Tanzania.
Wewe sio tu jitu jinga sana Lakini pia una upambavu wa kuzaliwa.
Unafikiri mali za wananchi mnazoiba na vitisho vya kuwaua vitakupa mileage? Mtu mpumbavu hana status hata aibe pesa ngapi.

Hao unaowapigania ni wauaji na jamii ilishawakataa.
 
Gentleman,
nadhani kushindwa kulipa ushuru wa Crown tu ndio ujinga halisi, hasa kwa mtu ambae alishakua mbunge anaetumia V8 la milioni mia4.

Tanzania na duniani kote,
kabla ya kuagiza gari muagizaji unakua unajua kabisa aina ya gari, gharama zake, kodi ni kiasi gani, lakini pia na ushuru wake ni kiasi gani hata uondoke nyumbani na gari hilo.

mbunge aliefilisika kwakua kashindwa kukomboa Crown, anaanza kupiga mayowe kuajiandaa na kuomba mchango wa kulipia ushuru wa gari lake.
 
Back
Top Bottom