Kufuatia maelekezo ya Rais Magufuli,bilioni 11 zaokolewa chakula cha wafungwa

Uzalendo wa Kitanzania

JF-Expert Member
Joined
Mar 8, 2020
Posts
3,585
Reaction score
8,106
Jeshi la Magereza nchini limeokoa jumla ya Shilingi Bilioni 11, ikiwa ni gharama ya chakula cha wafungwa tangu lianze kujitegemea kwa chakula ikiwa ni maelekezo ya Rais Dkt. John Pombe Magufuli ya kulitaka jeshi hilo litumie nguvu kazi ya wafungwa ilionao kuzalisha chakula.

Akizungumza leo katika ziara ya Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi,iliyofanyika katika Makao Makuu Mapya ya Jeshi hilo ,Msalato jijini Dodoma, Kamishna Jenerali wa Magereza, Suleiman Mzee amesema walikuwa wanatumia Shilingi Bilioni Moja kila mwezi kulipa wazabuni wa chakula waliokuwa wanaliuzia chakula jeshi hilo.

“Sasa hivi tunajitegemea asilimia kubwa kwa chakula, Serikali kabla ya mwezi wa tatu mwaka jana kila mwezi kulikua kuna deni la Bilioni Moja, lakini baada ya mwezi huo wa tatu sasa tunaokoa kiasi hicho cha fedha shilingi bilioni moja na mpaka sasa tuna miezi kumi na moja tunajilisha wenyewe kupitia shirika la magereza” alisema CGP Mzee

Akizungumza wakati wa ziara hiyo, Naibu Waziri, Khamis Hamza Chilo alilipongeza Jeshi la Magereza kwa kutekeleza vyema agizo la Rais Magufuli ikiwa sambamba na ujengaji wa kiwanda kikubwa cha samani ambapo mpaka kukamilika kwake kitagharimu shilingi Bilioni 1,101,743,123/=

“Niwapongeze kwa hatua mbalimbali za maendeleo ambazo zingine nimeshuhudia mwenyewe,lakini kubwa kuweza kujitegemea kwa chakula cha wafungwa hali iliyopelekea kuokoa kiasi kikubwa cha fedha ambacho kinabaki humu humu ndani na mnakitumia kwa shughuli zingine za maendeleo hongereni sana” alisema Naibu Waziri Chilo.
 
Ni fedha ambazo zingetumika kwa ajili ya kununua chakula
Sasa jeshi hilo limeanza kujitegemea kwa uzalishaji wa chakula

Safi sana

Kuwanunulia magereza chakula kilikua kitendo cha aibu kilichokua kilitengenezwa na wapiga deal ili waweze kutafuna pesa ya serikali

Pongezi kwa rais John Pombe Magufuli

Endelea kutukumbusha wajibu zetu baba
 
Hiyo nayo ni habari?

Ardhi wanayo, nguvu kazi wanayo kwanini wasilime?

Unalijua gereza la Songwe au Isupilo n.k ?

Waache kiki na kutaka kuuza sura kwa malaika wa Chato!
Kwann mpka uwek dong mbn hvy jaman
 
1610728588541.png
 
Bado na vijana Wa jkt nao Hela ziokolewe huko kuna wapiga dili kupitia kwa wazabuni
Safi sana

Kuwanunulia magereza chakula kilikua kitendo cha aibu kilichokua kilitengenezwa na wapiga deal ili waweze kutafuna pesa ya serikali

Pongezi kwa rais John Pombe Magufuli

Endelea kutukumbusha wajibu zetu baba
 
Ni fedha ambazo zingetumika kwa ajili ya kununua chakula
Sasa jeshi hilo limeanza kujitegemea kwa uzalishaji wa chakula

Hata kama ikiwa sii kweli wamapam bio watanimwambafai Kama kawa,basi waanze kutozwa na kodi basi,chanzo cha mapato.
 
Hiyo nayo ni habari?

Ardhi wanayo, nguvu kazi wanayo kwanini wasilime?

Unalijua gereza la Songwe au Isupilo n.k ?

Waache kiki na kutaka kuuza sura kwa malaika wa Chato!
Sure, Isupilo wanalima mashamba miaka mingi sana. Nimeishi pale miaka kama kumi hivi. Lile ni gereza la kilimo na nadhani walikuwa wanakula wanachozalisha
 
Hapo kulikua na upigaji plus usanii wa hizo pesa.hapo wale wapiga dili lazima akili iwakae sawa
 
Sure, Isupilo wanalima mashamba miaka mingi sana. Nimeishi pale miaka kama kumi hivi. Lile ni gereza la kilimo na nadhani walikuwa wanakula wanachozalisha
Tena inatakiwa walime mpaka waweke kwenye ghala LA serikali na chakula wauze nje ya nchi.
Wafungwa wakipiga sana kazi wanakuwa wanawekewa buku 5 padei wakitoka wawe na pa kuanzia na sio wakitoka humo tena wanatamani bora warudi gereZani.
Haya SGR serikali wangetumia vibarua wafungwa mana kibarua analipwa 12500 TZS . INA mana 7500 inaenda serikalini ila alfu 5 ni ya kwao.
Yaani mwanzoni nilijua jpm angefanya hii kitu ningemkubali sana. Hata Stalin alitumia wafungwa kuijenga underground train ya Russia.
Keep it up jpm
 
Na hao vibarua waliajiriwa sasa hivi ungewaajiri wewe au co..
 
Tunacheki cheap labour na nchi kupata mapato. Kumbuka target yetu ni trilioni 3 kwa mwezi so mazima vyanzo vitafutwe.
Samahani kama Uko kwenye icho kibarua mkuu.
 
Tena inatakiwa walime mpaka waweke kwenye ghala LA serikali na chakula wauze nje ya nchi.
Wafungwa wakipiga sana kazi wanakuwa wanawekewa buku 5 padei wakitoka wawe na pa kuanzia na sio wakitoka humo tena wanatamani bora warudi gereZani.
Haya SGR serikali wangetumia vibarua wafungwa mana kibarua analipwa 12500 TZS . INA mana 7500 inaenda serikalini ila alfu 5 ni ya kwao.
Yaani mwanzoni nilijua jpm angefanya hii kitu ningemkubali sana. Hata Stalin alitumia wafungwa kuijenga underground train ya Russia.
Keep it up jpm
Halafu watoroke!!
 
UPUUZI MTUPU! 2.7 trillions alizokwapua hazina kwanini anazuia uchunguzi huru??
Jeshi la Magereza nchini limeokoa jumla ya Shilingi Bilioni 11, ikiwa ni gharama ya chakula cha wafungwa tangu lianze kujitegemea kwa chakula ikiwa ni maelekezo ya Rais Dkt. John Pombe Magufuli ya kulitaka jeshi hilo litumie nguvu kazi ya wafungwa ilionao kuzalisha chakula.

Akizungumza leo katika ziara ya Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi,iliyofanyika katika Makao Makuu Mapya ya Jeshi hilo ,Msalato jijini Dodoma, Kamishna Jenerali wa Magereza, Suleiman Mzee amesema walikuwa wanatumia Shilingi Bilioni Moja kila mwezi kulipa wazabuni wa chakula waliokuwa wanaliuzia chakula jeshi hilo.

“Sasa hivi tunajitegemea asilimia kubwa kwa chakula, Serikali kabla ya mwezi wa tatu mwaka jana kila mwezi kulikua kuna deni la Bilioni Moja, lakini baada ya mwezi huo wa tatu sasa tunaokoa kiasi hicho cha fedha shilingi bilioni moja na mpaka sasa tuna miezi kumi na moja tunajilisha wenyewe kupitia shirika la magereza” alisema CGP Mzee

Akizungumza wakati wa ziara hiyo, Naibu Waziri, Khamis Hamza Chilo alilipongeza Jeshi la Magereza kwa kutekeleza vyema agizo la Rais Magufuli ikiwa sambamba na ujengaji wa kiwanda kikubwa cha samani ambapo mpaka kukamilika kwake kitagharimu shilingi Bilioni 1,101,743,123/=

“Niwapongeze kwa hatua mbalimbali za maendeleo ambazo zingine nimeshuhudia mwenyewe,lakini kubwa kuweza kujitegemea kwa chakula cha wafungwa hali iliyopelekea kuokoa kiasi kikubwa cha fedha ambacho kinabaki humu humu ndani na mnakitumia kwa shughuli zingine za maendeleo hongereni sana” alisema Naibu Waziri Chilo.
 
Sasa hizo pesa zikarekebishe makazi ya askari, jamaa wanaishi kama mifugo kwenye vile vibanda vyao!
 
Back
Top Bottom