Kufuatia maelekezo ya Rais Magufuli,bilioni 11 zaokolewa chakula cha wafungwa

Kufuatia maelekezo ya Rais Magufuli,bilioni 11 zaokolewa chakula cha wafungwa

Wafungwa hawakuanza kulimishwa leo au jana. Ni kitambo tu. Sema mavuno askar magereza walikuwa wakigawana. Hii sasa wanalia awamu hii.
Kweli tulikua tunaliwa sana! Nilikua na Babu yangu mmoja alikua Mkuu wa gereza flani hapa Nchini,mbona Msosi kwake ulikua hakauki hadi tunafungashiwa kurudi nao makwetu!!
 
Mkaruka usiruke ruke kwa jazba. Toa maelezo yakutosha Ni wafungwa wepi, sababu, idadi yao na wako wapi.
Hata wale wasio ruhusiwa kutoka nje ya gereza wanaweza kuzalisha Mali humo humo gerezani.
Sio lzm kila mfungwa akalime au kupasua kokoto
Mkaruka yeye anajua kua Magereza wanalima tu,hajui kuna mpaka karakana za service za vyombo vya Moto!!
 
Back
Top Bottom