Kweli tulikua tunaliwa sana! Nilikua na Babu yangu mmoja alikua Mkuu wa gereza flani hapa Nchini,mbona Msosi kwake ulikua hakauki hadi tunafungashiwa kurudi nao makwetu!!
Mkaruka usiruke ruke kwa jazba. Toa maelezo yakutosha Ni wafungwa wepi, sababu, idadi yao na wako wapi.
Hata wale wasio ruhusiwa kutoka nje ya gereza wanaweza kuzalisha Mali humo humo gerezani.
Sio lzm kila mfungwa akalime au kupasua kokoto