Kufuatia maoni ya Nape kuhusu deni la Taifa awamu ya tano, Wafuatao wachukuliwe hatua kali

Nipende kushukuru mungu ndani ya awamu hii ya sita kwa kipindi hichi kifupi hakuna mfanya biashara aliyefariki kiajabu ajabu hakuna mtu aliyepotea katika mazingira ya kutatanisha hakuna kiongozi wa serekali aliyekufa katika mitindo ya ghafla wafanyakazi wa umma wanafanya kazi kwa comfidence na sio woga wa ajabu ajabu Allah ujalie uongozi uliopo wa awamu ya sita AMINA
 
Kwanza nipende kumshukuru Mungu kwa zawadi ya uhai, nimeshuhudia marais wa awamu zote 6, katika wote nilimkubali sana JK Nyerere na JPM.

Nikirejea kwenye mada, kufuatia alichokisema Mh Nappe, endapo itathibitika kuwa fedha zilizokopwa na awamu ya 5 zilitumika vibaya, wafuatao wachukuliwe hatua

1. Aliyekuwa Makamu wa Rais wa awamu ya 5 kwakuwa hakumshauri vyema mwenza wake, ikumbukwe kuwa na yeye pia alikuwepo katika karatasi ya kura ya uchaguzi mkuu na mbele ya sura yake ndiyo wapiga kura waliweka alama ya vema.

2. Waziri Mkuu wa awamu ya 5, huyu alikuwa mtendaji mkuu wa Serikali, kwanini alifumbia macho uovu huo?

3. Aliyekuwa Waziri mwenye dhamana ya fedha, huyu nayeye asipone katika sakata hili maana yeye ndiyo mwangalizi wa kila senti ya serikali inatoingia na Kutoka.

Mwisho: kama Hawa hawatachukuliwa hatua basi nachukua fursa hii kumpongeza JPM kwa aliyoyafanya kila kona ya nchi hii.

Unawasingizia mkuu ,yule alikuwa jeshi la mtu mmoja ,lawama ziende kwake mwenyewe.
 
Tuliposema sisi mlituita wapinzani🙄🙄
 
Kama kumbukumbu zangu ziko sawa, Jiae aliwahi kusema yeye hashauriki. Sasa hao unaowataja wangumshauri vp vizuri?
 
Ukimjua Nape hutahangaika naye,huyu ni mzee wa kutumwa.
Alitumwa kumchafua Lowassa na Msogagang.
Mojawapo ya Hawa kamtuma Hangaya au mzee wa Msoga,ili kumchafua Jiwe.

Jiwe pamoja na kuwa hayupo,hicho ni kina kirefu,heri apambane na waliohai saizi yake.
Kushauri pesa zilizokopwa zichunguzwe ni vibaya ila hali Jiwe alisema yeye ni Rais wa wanyonge!
 
Ukiona mtu anawakubalia viongozi wakuu wawili flani, jua ukoo wake una asili ya utumwa. Huwa wanapenda kuchungwa chungwa, kunyanyaswa nk.
 
Kama miaka 60 ya uhuru matundu ya choo ni kwa hisani ya mabeberu, unasemaje hakuna mbadala?
Kama huo mbadala unaopigiwa upatu umeshindwa hata kujiendeleza wenyewe, hawana hata kiwanja cha kujenga ofisi ya makao makuu, tutawaaminije kuwa wako maendeleo minded? Kwa kusikia porojo tu za midomoni?
Fanyeni kitu kichama mtuonyeshe evidence!
 
Kama miaka 60 ya uhuru matundu ya choo ni kwa hisani ya mabeberu unasemaje hakuna mbadala?
Wanazuzu hata kukubali kuwa mabeberu ndio wawezeshaji wao hawa
Na chama mbadala hakuna tulia ukamuliwe jipu!
Kile kinacho wauzia wapambanaji wake kwa mkopo, au kwa mauzo kamili au hata kwa usajili haramu, unawasemeaje Kipara Cha Zamani🤸.
 
Back
Top Bottom