Kufuatia maoni ya Nape kuhusu deni la Taifa awamu ya tano, Wafuatao wachukuliwe hatua kali

Kwanza nipende kumshukuru Mungu kwa zawadi ya uhai, nimeshuhudia marais wa awamu zote 6, katika wote nilimkubali sana JK Nyerere na JPM.

Nikirejea kwenye mada, kufuatia alichokisema Mh Nappe, endapo itathibitika kuwa fedha zilizokopwa na awamu ya 5 zilitumika vibaya, wafuatao wachukuliwe hatua
Tulia kwanza! Cha msingi ngoja kwanza CAG alikague deni la taifa na matumizi yake ndipo hayo mengine yafuate.

Acha kubashiri kabla ya ripoti ya CAG!!
 
Nape naona anataka kumumbua babake, alipize alivyopigishwa magoti - ha ha ha
 
Kwa awamu ya 5 ni nani alikua na jeuri ya kuleta fyoko kwa JIWE kati ya hao uliowataja na wengine wote?
 
😆😆😆😆😆😆 my classmate Bashiru Ally Kakurwa
Kiongozi mkubwa mstaafu alisema hivi" huyu Bashiru anataka nini hapa?"...akajibiwa "bado hajakabidhi ofisi ya katibu wa chama".....akauliza kwani kipi zaidi, nafasi ya KMK na kutokabidhi mafile ya ukatibu wa chama????😆😆😆😆😆

Ikabidi Bashiru atolewe nje na kikao kikaanza!!!

This is Tanzania chini ya CCM yangu bhana😆😆😆😆
 
Kwanza nipende kumshukuru Mungu kwa zawadi ya uhai, nimeshuhudia marais wa awamu zote 6, katika wote nilimkubali sana JK Nyerere na JPM.

Nikirejea kwenye mada, kufuatia alichokisema Mh Nappe, endapo itathibitika kuwa fedha zilizokopwa na awamu ya 5 zilitumika vibaya, wafuatao wachukuliwe hatua
Mwishoni ndo umeharibu
 
kwakifupi tu hawezi kuchukuliwa hatua mtu yoyote kwa maoni ya mjinga mmoja
 
Yupo hajui nini kilitokea na atakuwa mtu wa mwisho kuidharau korona
I really sympathize with him😆😆😆😆😆😆

Kilichomtokea utafikili ni movie ya ki-Nigeria!! yaani kulikuwa hakuna namna ya kumbakiza kwenye muhimili wa Executive!😆😆😆😆

Sijui alifanya kitu gani kibaya sana huyu classmate wangu!!😓😓😓😓
 
I really sympathize with him[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]

Kilichomtokea utafikili ni movie ya ki-Nigeria!! yaani kulikuwa hakuna namna ya kumbakiza kwenye muhimili wa Executive![emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]

Sijui alifanya kitu gani kibaya sana huyu classmate wangu!![emoji29][emoji29][emoji29][emoji29]
Dharau kwa watanzania kisa kulewa madaraka kutoka kwa jiwe
 
Huyo mama Samia alikuwa kwenye serikali ipi na alikuwa Nani , bullshit
mbona umepanic mkuu.alikuwa makamu wa rais wa jamhuri ya muungano wa Tanzania,na kwa muongozo na matakwa ya katiba ya jamhuri ya muungano wa Tanzania...imemkaimu na kumfanya awe rais halali wa jamhuri ya watu wa Tanzania kwa mujibu wa katiba.ndio maana hatukuingia kwenye uchaguzi.BADO HUJAELEWA MKUU...MAMA ALIKUWA NANI !!??
 
Kwanza nipende kumshukuru Mungu kwa zawadi ya uhai, nimeshuhudia marais wa awamu zote 6, katika wote nilimkubali sana JK Nyerere na JPM.

Nikirejea kwenye mada, kufuatia alichokisema Mh Nappe, endapo itathibitika kuwa fedha zilizokopwa na awamu ya 5 zilitumika vibaya, wafuatao wachukuliwe hatua

1. Aliyekuwa Makamu wa Rais wa awamu ya 5 kwakuwa hakumshauri vyema mwenza wake, ikumbukwe kuwa na yeye pia alikuwepo katika karatasi ya kura ya uchaguzi mkuu na mbele ya sura yake ndiyo wapiga kura waliweka alama ya vema.

2. Waziri Mkuu wa awamu ya 5, huyu alikuwa mtendaji mkuu wa Serikali, kwanini alifumbia macho uovu huo?

3. Aliyekuwa Waziri mwenye dhamana ya fedha, huyu nayeye asipone katika sakata hili maana yeye ndiyo mwangalizi wa kila senti ya serikali inatoingia na Kutoka.

Mwisho: kama Hawa hawatachukuliwa hatua basi nachukua fursa hii kumpongeza JPM kwa aliyoyafanya kila kona ya nchi hii.
4. KUB wa Bunge la Awamu ya Tano kwa kushindwa kuisimamia vyema Serikali Bungeni badala yake akatumia muda mrefu kupanga ugaidi!
 
Kwanza nipende kumshukuru Mungu kwa zawadi ya uhai, nimeshuhudia marais wa awamu zote 6, katika wote nilimkubali sana JK Nyerere na JPM.

Nikirejea kwenye mada, kufuatia alichokisema Mh Nappe, endapo itathibitika kuwa fedha zilizokopwa na awamu ya 5 zilitumika vibaya, wafuatao wachukuliwe hatua

1. Aliyekuwa Makamu wa Rais wa awamu ya 5 kwakuwa hakumshauri vyema mwenza wake, ikumbukwe kuwa na yeye pia alikuwepo katika karatasi ya kura ya uchaguzi mkuu na mbele ya sura yake ndiyo wapiga kura waliweka alama ya vema.

2. Waziri Mkuu wa awamu ya 5, huyu alikuwa mtendaji mkuu wa Serikali, kwanini alifumbia macho uovu huo?

3. Aliyekuwa Waziri mwenye dhamana ya fedha, huyu nayeye asipone katika sakata hili maana yeye ndiyo mwangalizi wa kila senti ya serikali inatoingia na Kutoka.

Mwisho: kama Hawa hawatachukuliwa hatua basi nachukua fursa hii kumpongeza JPM kwa aliyoyafanya kila kona ya nchi hii.

Hizi ni ndoto hazItakaa kutokea😀😀😀😀😀
 
Back
Top Bottom