Kufuatia maoni ya Nape kuhusu deni la Taifa awamu ya tano, Wafuatao wachukuliwe hatua kali

Nipende kushukuru mungu ndani ya awamu hii ya sita kwa kipindi hichi kifupi hakuna mfanya biashara aliyefariki kiajabu ajabu hakuna mtu aliyepotea katika mazingira ya kutatanisha hakuna kiongozi wa serekali aliyekufa katika mitindo ya ghafla wafanyakazi wa umma wanafanya kazi kwa comfidence na sio woga wa ajabu ajabu Allah ujalie uongozi uliopo wa awamu ya sita AMINA
 

Unawasingizia mkuu ,yule alikuwa jeshi la mtu mmoja ,lawama ziende kwake mwenyewe.
 
Hizo point zote 3 ndiyo sababu ya kufichwa kwa ile report ya BOT na pia taarifa ya hili deni sugu la taifa itaendelea kuwa siri labda litabumburuka katika serikali ya awamu ya 8 huko.
 
Tuliposema sisi mlituita wapinzanišŸ™„šŸ™„
 
Kama kumbukumbu zangu ziko sawa, Jiae aliwahi kusema yeye hashauriki. Sasa hao unaowataja wangumshauri vp vizuri?
 
Kushauri pesa zilizokopwa zichunguzwe ni vibaya ila hali Jiwe alisema yeye ni Rais wa wanyonge!
 
Ukiona mtu anawakubalia viongozi wakuu wawili flani, jua ukoo wake una asili ya utumwa. Huwa wanapenda kuchungwa chungwa, kunyanyaswa nk.
 
Kama miaka 60 ya uhuru matundu ya choo ni kwa hisani ya mabeberu, unasemaje hakuna mbadala?
Kama huo mbadala unaopigiwa upatu umeshindwa hata kujiendeleza wenyewe, hawana hata kiwanja cha kujenga ofisi ya makao makuu, tutawaaminije kuwa wako maendeleo minded? Kwa kusikia porojo tu za midomoni?
Fanyeni kitu kichama mtuonyeshe evidence!
 
Kama miaka 60 ya uhuru matundu ya choo ni kwa hisani ya mabeberu unasemaje hakuna mbadala?
Wanazuzu hata kukubali kuwa mabeberu ndio wawezeshaji wao hawa
Na chama mbadala hakuna tulia ukamuliwe jipu!
Kile kinacho wauzia wapambanaji wake kwa mkopo, au kwa mauzo kamili au hata kwa usajili haramu, unawasemeaje Kipara Cha Zamani🤸.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…