Kufuatia maoni ya Nape kuhusu deni la Taifa awamu ya tano, Wafuatao wachukuliwe hatua kali

Tulia kwanza! Cha msingi ngoja kwanza CAG alikague deni la taifa na matumizi yake ndipo hayo mengine yafuate.

Acha kubashiri kabla ya ripoti ya CAG!!
 
Nape naona anataka kumumbua babake, alipize alivyopigishwa magoti - ha ha ha
 
Kwa awamu ya 5 ni nani alikua na jeuri ya kuleta fyoko kwa JIWE kati ya hao uliowataja na wengine wote?
 
๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†๐Ÿ˜† my classmate Bashiru Ally Kakurwa
Kiongozi mkubwa mstaafu alisema hivi" huyu Bashiru anataka nini hapa?"...akajibiwa "bado hajakabidhi ofisi ya katibu wa chama".....akauliza kwani kipi zaidi, nafasi ya KMK na kutokabidhi mafile ya ukatibu wa chama????๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†

Ikabidi Bashiru atolewe nje na kikao kikaanza!!!

This is Tanzania chini ya CCM yangu bhana๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†
 
Mwishoni ndo umeharibu
 
kwakifupi tu hawezi kuchukuliwa hatua mtu yoyote kwa maoni ya mjinga mmoja
 
Yupo hajui nini kilitokea na atakuwa mtu wa mwisho kuidharau korona
I really sympathize with him๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†

Kilichomtokea utafikili ni movie ya ki-Nigeria!! yaani kulikuwa hakuna namna ya kumbakiza kwenye muhimili wa Executive!๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†

Sijui alifanya kitu gani kibaya sana huyu classmate wangu!!๐Ÿ˜“๐Ÿ˜“๐Ÿ˜“๐Ÿ˜“
 
Dharau kwa watanzania kisa kulewa madaraka kutoka kwa jiwe
 
Huyo mama Samia alikuwa kwenye serikali ipi na alikuwa Nani , bullshit
mbona umepanic mkuu.alikuwa makamu wa rais wa jamhuri ya muungano wa Tanzania,na kwa muongozo na matakwa ya katiba ya jamhuri ya muungano wa Tanzania...imemkaimu na kumfanya awe rais halali wa jamhuri ya watu wa Tanzania kwa mujibu wa katiba.ndio maana hatukuingia kwenye uchaguzi.BADO HUJAELEWA MKUU...MAMA ALIKUWA NANI !!??
 
4. KUB wa Bunge la Awamu ya Tano kwa kushindwa kuisimamia vyema Serikali Bungeni badala yake akatumia muda mrefu kupanga ugaidi!
 

Hizi ni ndoto hazItakaa kutokea๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ