Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ninachofahamu watu wenye akili fupi ndio husema mtu akifa anakwenda na yake. Isitoshe hakuna mtu kasema kurudisha. Mtu anayeelewa maana ya maendeleo ndiye anaweza kuelewa kinachofanyika kinalenga nini. Watu wengine mwende insta.Hizi topics tumezichoka everyday Magufuli Magufuli ,he is gone na tuna Rais mwingine, huyo hata iweje hatarudi tena Duniani tumuongelee Mama Rais wetu this time inaboa sana muda mwingi Magufuli alifanya hiki mara hiki ,people know Magufuli alikuwepo but kwa sasa hayupo na hatarudi
Wangelikuwa wanaema maneno bila kutaka kurudisha taifa kwenye machukizo ya awamu ya nne.Alipokuwa hai ulikuwa ni wakati wake wa kusifiwa MEMA, hakutaka kuambiwa MABAYA. Sasa kwa kuwa hayupo, basi acha watu waseme 'UPUUZI' wa Shujaa (kutema nyongo) maana hakuna wa kuamrisha kuteka, kutesa, kubambika kesi! Shujaa alitumia UMAFIA kunyamazisha watu, acha sasa watu WASEME.