Kufuatia nguvu inayotumika kuua sifa nzuri za Magufuli, tutgemee nini Watanzania?

Kafanya Mambo mengi Sana mazuri, lkn yapo Mambo mengine mabaya aliyoyafanya usiwakataze watu kuongea hayo mabaya waliyoyaona kipindi hicho ispokuwa waelimishe kwamba so vizuri kujadili udhaifu wa mtu wakati mwenyewe amefariki. He was a human being not Angel.
 
Ninachofahamu watu wenye akili fupi ndio husema mtu akifa anakwenda na yake. Isitoshe hakuna mtu kasema kurudisha. Mtu anayeelewa maana ya maendeleo ndiye anaweza kuelewa kinachofanyika kinalenga nini. Watu wengine mwende insta.
 
Wangelikuwa wanaema maneno bila kutaka kurudisha taifa kwenye machukizo ya awamu ya nne.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…