mpita-njia
JF-Expert Member
- Dec 3, 2010
- 1,734
- 1,616
Ndo maana napenda mademu wa kizaramo, yeye Dera tu na nauli ya kwenda Msanga. Hana cha 70,000 kwa siku wala m4 kwa mwezi. Yeye mwendo wa juu mboga katikati kuni chini ugali.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Matatizo ndio utelekeze mtoto??Mi siwezi kuamini kwamba Sugu kashindwa kumpa huduma mwanae, sema huyu bibi ana matatatizo, we angalia hata hayo maneno. Hana busara hata kidogo, inasikitisha kwa kweli.
Matatizo ndio utelekeze mtoto??
Na yule fundi garage mama yake alikua anamtusi kama faiza? Mbona alimtelekeza?
Lets be honest tunapohukumu,Ila sugu ni mshenzi tu
Kamuachia mwenzie mtoto tangu ana mwaka hata mia hatoi
Kila siku analalamikiwa leo anatoa risiti 2 za ada??? Khaaa [emoji28] [emoji28] [emoji28]
Yaani tangu mtoto mpaka anakua vile huo ndio mchango wake?? Huyo mtoto hali havai walaaa???
Miezi mwaka huna hata salamu na damu yako tena mtoto Na hataki mawasiliano yoyote na mlezi wa mwanae halafu anasema kamkataza why asishitaki???
Mbona ya chama na bungeni anashadadia sana kwanini si kwa mtoto wake???
Aache ubabaifu ahudumie mtoto wake maujinga yake na ugomvi wa faiza waweke kando
Mbona girlfriend wake anahudumia na hajamuoa???
Hiyo kesi alifungua baada ya faiza kuonekana tako lake kwenye tv.Lets be honest tunapohukumu,
Mwaka jana Sugu alifungua kesi mahakamani kuhusu kutaka akae na mtoto, na kesi alishinda,huyo punguani Faiza alitembea uchi akilia kuwa haiwezekani sugu amchukue mwanae atamlea yeye mwenyewe,wanawake mlitetea Faiza sana mpaka bungeni ooh sugu asimchukue mwanaye..leo anacholalamika ni nini?? Kwani ustawi wa jamiii haujui kama jama hawi responsible na mtoto,au mitandaoni ndio ustawi wa jamiii?
Nonsense
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]Mademu wengi wakikuzalia mtoto ndio wanataka uwatatulie matatizo yao yote na shida zake zote lawama atakupa wewe. Anataka umpe huduma ambazo tangu azaliwe anaziona kwenye TV tu.
Kuna watu wana libeba suala hili kwa mlengo wa kisiasa, wengi hapa wameacha uhalisia na kulazimisha tuamini huenda Faiza anatumika kisiasa na wapinzani wa Sugu.Hiyo kesi alifungua baada ya faiza kuonekana tako lake kwenye tv.
Okay kwahiyo mtoto akikaa na mama yeye hahusiki chochote?
Sifurahii kabisa matusi ya faiza ili kama mzazi namuelewaKuna watu wana libeba suala hili kwa mlengo wa kisiasa, wengi hapa wameacha uhalisia na kulazimisha tuamini huenda Faiza anatumika kisiasa na wapinzani wa Sugu.
ni wale wanawake fulani wasio na mbele wala nyuma ambao kwao akishazaa na mwanamme mwenye hela anamgeuza huyo mtoto ni mtaji wa yeye kuendesha maisha yake.....kwanini kama wazazi mmeshindwana msikubaliane tu kuwa kwakuwa Baba ana uwezo amchukue na kumsaidia mtoto hata kwa kumpeleka Boarding School ambayo mtaridhia kwa pamoja?Na kama mama anajiweza ni kwanini analialia njaa kwenye mitandao ya kijamii na kutangaza shida zake si amsaidie mtoto wake kimyakimya na amnyime kabisa Baba access!?Na hapo mtoto ni mmoja wangekuwa watatu ,au watano si balaa!We mama mwachie huyo mtoto Baba yake akamlee kwa kumtunza na kumsomesha wewe kaendelee kupambana na hali yako!
Sugu unayemzungumzia ni yupi mwanamuziki au Mbunge?Diamond amesema hakuna mwanamziki anayemzidi hela,hivi dimondi amamzidi kipesa Sugu?