Itakuwa wengi wape basi. Hata huko Simba umesema vema kuna watu hawataki lakini imepita Kwa majority.Sawa kabisa. Sasa niondolee shaka hii; wale wanachama watakaokataa kuridhia jambo hilo, watalindwa au watapigiwa kura ya kuvuliwa uanachama?
Hapa ndipo tulipokosea Yanga, uongozi unaokuja atawapendekeza yeye kulingana na hotuba yake.Yanga kuna tatizo fulani nadhani. Walioonyesha hali ya kukosoa jambo hilo, uongozi wa klabu uliweka mezani hoja ya kuwavua uanachama, na kweli wakavuliwa. Anayeongoza kikao na kuweka hoja ya kuwavua uanachama wanaopinga hilo, ndio huyo huyo mkodishwaji. Kulikuwepo mgongano wa maslahi hapo