Sibonike
JF-Expert Member
- Dec 23, 2010
- 17,296
- 18,027
Itakuwa wengi wape basi. Hata huko Simba umesema vema kuna watu hawataki lakini imepita Kwa majority.Sawa kabisa. Sasa niondolee shaka hii; wale wanachama watakaokataa kuridhia jambo hilo, watalindwa au watapigiwa kura ya kuvuliwa uanachama?
Waliovuliwa uanachama kuna mengi ndani yake. Si suala la kukodisha timu pekee. Wachezaji walishasema na iliandikwa kwenye magazeti kuhusu kuwarubuni wacheze chini ya kiwango.