Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wakati mnakula pesa zake mlishajiuliza maswali yote huyo?Kuna habari inayoendelea ya kuhusu Manji KUKODISHWA TIMU YA YANGA, nina maswali yafuatayo mwenye majibu yake anijibu na nielewe.
1.Manji anaikodi Yanga kutoka kwa nani ??
2.Je kulishatengenezwa mkataba wa kukodishana ??
3.Je, ktk kipindi chake cha kukodi uwekezaji gani umekulibaliwa kufanywa kwa mujibu wa huo mkataba wao ??
4. Ni nani msimamizi wa huo mkataba ??
5. Je kwenye huo mkataba kuna kipengere cha kuchukua timu kama hakuna maendeleo yanayopatikana hata kabla ya mkataba kuisha ??
6. Nasikia mapato ya 75% yatakuwa yake na 25% ni ya wanachama je, yeye anapata hayo mapato kwa kipi alichowekeza/atakachowekeza ???
7 Na hayo mapato ya wanachama ya 25% wanachukua wanachama kwa utalatibu upi ...... na kwa uwekezaji gani walioufanya ........ na zinagawanywa vipi ???
8.Nani msimamizi wa haya kudhibitisha hii ni 75% anastahili Manji na hii ni 25% ni ya wanachama ???
9.Hawa wasimamizi wanalipwa na nani ???
10.Kama jengo halimuhusu je yeye ofisi anazifanyia wapi ???
11. Sisi binadamu (siombei mabaya) tunaweza kufa muda wowote je, kwenye huo ukodishwaji wake unarithiwa ??
12. Mtaji wake ni sh'ngapi ??
endelee na wengine kujazia maswali wadau
Haya umesikia kuna wanaume mashoga ..... Jiunge basiSijawahi sikia klabu ya mpira inakodishwa ...ni sawa nakukodisha shule
Hujui majukumu yakoAcheni bla bla zenu hamjawahi kuichangia Yanga hata shilingi kumi..Maendeleo ya sasa hivi ya Yanga kutaifa na kimataifa yametokana na ufadhili wa Manji...Manji ameisaidia sana Yanga hata akiikodisha kwa miaka 100 ni sawa tu
Kwanza hatupingi yy kukodishwa ila njia za kukodishwa hazijawa sawa, ilipaswa ajihudhuru kwanza halafu aje na mapendekezo kutoka kamati ya utendaji, kuhusu namna bora anayoona inafaa kuiendesha club,Acheni bla bla zenu hamjawahi kuichangia Yanga hata shilingi kumi..Maendeleo ya sasa hivi ya Yanga kutaifa na kimataifa yametokana na ufadhili wa Manji...Manji ameisaidia sana Yanga hata akiikodisha kwa miaka 100 ni sawa tu
Hatua zozote zinachokuliwa na MANJI ni MWIBA kwa MAKOMANDOO na wale wote walioiishi muda mrefu kwa Kuitegemea Yanga, ikumbukwe kuna WATU(Wanachama) wameelimisha Watoto (Shule) kwa mgongo wa Yanga,kuna baadhi wamejenga Nyumba kupitia Yanga,kuna watu Wanamiliki magari mazuri tu kwa jasho la Yanga,....Leo hii walio mstari wa mbele kuhoji hatua zozote ambazo Manji anafanya kwanza mchunguze,Je ni kweli ana wanachungu kweli na Yanga ? wanachangia kiasi gani maendeleo ya Yanga,? Lini alitengeneza Proposal yoyote juu ya namna gani Yanga ifanye iliisonge mbele? Jiulize hizi Page za Facebook,Twitter,au mawasiliano kwenye Instagram,Whattsapp,zinaweza kweli kufikisha mchango(mawazo) kwa Uongozi wa Yanga hasa mwenyekiti Yusuf Manji? au staili hii ni mbinu za kupayuka ili Mwenyekiti akuiite akuambie acha kupayuka na bahasha mkononi?, Hivi kuikodisha NEMBO ya Yanga na kubaki na Makomandoo wanaoitafufana klabu lipi lenye faida ?,.Kuendesha mpira zama hizi ni gharama, hiki siyo kile kipindi cha kusajili mchezaji kwa mapenzi ya klabu,ukifanya hivyo utaiishia kupata wachezaji wa kiwango cha chini na hatimaye timu inafanya vibaya na kushuka daraja,fahari itabaki Majengo kama walivyo PAN AFRICA.Kuna habari inayoendelea ya kuhusu Manji KUKODISHWA TIMU YA YANGA, nina maswali yafuatayo mwenye majibu yake anijibu na nielewe.
1.Manji anaikodi Yanga kutoka kwa nani ??
2.Je kulishatengenezwa mkataba wa kukodishana ??
3.Je, ktk kipindi chake cha kukodi uwekezaji gani umekulibaliwa kufanywa kwa mujibu wa huo mkataba wao ??
4. Ni nani msimamizi wa huo mkataba ??
5. Je kwenye huo mkataba kuna kipengere cha kuchukua timu kama hakuna maendeleo yanayopatikana hata kabla ya mkataba kuisha ??
6. Nasikia mapato ya 75% yatakuwa yake na 25% ni ya wanachama je, yeye anapata hayo mapato kwa kipi alichowekeza/atakachowekeza ???
7 Na hayo mapato ya wanachama ya 25% wanachukua wanachama kwa utalatibu upi ...... na kwa uwekezaji gani walioufanya ........ na zinagawanywa vipi ???
8.Nani msimamizi wa haya kudhibitisha hii ni 75% anastahili Manji na hii ni 25% ni ya wanachama ???
9.Hawa wasimamizi wanalipwa na nani ???
10.Kama jengo halimuhusu je yeye ofisi anazifanyia wapi ???
11. Sisi binadamu (siombei mabaya) tunaweza kufa muda wowote je, kwenye huo ukodishwaji wake unarithiwa ??
12. Mtaji wake ni sh'ngapi ??
endelee na wengine kujazia maswali wadau
Vitu vinavyoongoza kununuliwa DarVitu vinavyoongoza kwa Kukodishwa Mjini
[emoji92] Shela la Harusi
[emoji92] Gari la Kusafirishia Maiti
[emoji92] Boda Boda na Bajaji
[emoji92] Trekta la Kulimia
[emoji92] Turubai la Msibani
[emoji92] Ukumbi wa Mikutano
[emoji92] Yanga SC
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Kipi cha ajabu kununuliwa hapo sasa...Vitu vinavyoongoza kununuliwa Dar
Unga wa mahindi
Mchele
Matunda ya msimu e.g. machungwa kwa sasa
Vyangudoa
Nyanya mbovu (masalo)
Simba Sports Club
Etc
Club kununuliwa kama masalo tuKipi cha ajabu kununuliwa hapo sasa...