Ngengemkenilomolomo
JF-Expert Member
- Mar 21, 2015
- 270
- 450
Wakuu,
Kufuatia tukio la binti alibakwa na kuingiliwa kinyume cha maumbile wadau mbalimbali wamelaani na kuitaka serikali itoe tamko na kuwakamata wote waliohusika.
Kufikia jana imetoka taarifa kwamba vijana waliohusika kutenda unyama huo wameshikiriwa. Lakin kama ambavyo tuliwaona waliohusika na kifo cha mtoto asimwe iweje hawa watu hatujawaona?
Hii inaleta mashaka sana kwamba pengine hawajakamatwa kwa sababu pengine wanao mkono au guard kubwa nyuma yao kwa sababu;-
1.Wanaonekana kwny ile video wakijiamini kabsa ndo maana hawakua na wasiwasi wa kuonyesha sura zao.
2.Hawakusita kutaja identity ya aliyeko nyuma yao (afande)
3.Yule binti si mkazi wa Yombo Dovya kama alivosema inaonesha dhahiri yale, ni maneno waliyompa kuyataja ndo maana wakawa wanamuuliza kwa vituo ili kupangilia script yao, maana hawawezi kuruhusu ataje location ambayo wanajua kabisa polisi wataitumia kuwatia nguvuni.
Nahisi kuna karufu ya kulindana na kufichiana makucha kwenye hili.