Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 376,316
- 871,876
Maono mafupi kimo cha mbilikimo ni jambo hatari sana.. Maono ya kuona mwisho wa macho yako ambayo ni sawa na sekunde 15 mbele!
Hakuna mmea hatari majini kama gugumaji.. Kuliangamiza hili gugu hakuhitaji nguvu bali akili kubwa muda na uwekezaji wa kueleweka.. Maana unapoliona limechomoza juu jua huko chini limeenea na kufika mbali sana
Mkakati uliobuniwa Tanganyika wa
Kuwanunua wapinzani
Kuwateka wakosoaji
Kuwapoteza wanaharakati
Kuwabambikia kesi wapinzani, kuwafunga na wengine kuwapoteza kabisa ulikuwa ni mkakati hovyo kuwahi kutokea
Kadiri unavyoteka, kutesa, kufunga, kumbabika kesi na hata kuua wakosoaji na wapinzani ndivyo kadiri unavyoibua wengine wabaya zaidi wakali zaidi na wenye uthubutu zaidi
Ndivyo kadiri unavyoibua uthubutu uasi na watu wenye maarifa makubwa zaidi
Madhara ya akina Mdude, Soka Kipanya Shadrack na wengine wengi hayakuwa mabaya kwa mfumo katili na kandamizi kama ya wazalendo wasiofikika kama Maria Sarungi, Mange Kimambi, Rachel Danga, Bishop Cornel Kabugila na wengine wengi .. Lakini pia kwa kipekee kabisa mwana aliyejinyakulia cheo cha rais wa Gen Z Tanganyika, Ha il
Huyu dogo very humble guy maarifa aliyonayo na sumu anayomwaga ni kama kawafunika wote japo hatuwezi kuwalinganisha kihivyo wala kuwashindanisha kwakuwa kila mmoja ana silaha zake za maangamizi na medani zake za kivita na backup zake!
Habil anaingia mpaka kwenye mifumo ya mamlaka anadukua anachota data, anazifanyia uchambuzi yakinifu anazimwaga hadharani
Uwanja wa akina Mange na Maria ni kutegemea informers toka ndani ya mamlaka ambako sometimes kina habari hupikwa ama hupatikana nusunusu.. Lakini Habil anajipakulia mwenyewe, anachakata mwenyewe kisha anamwaga hadharani
Kama watu walikuwa wanadhani akina polepole ni mwiba kwa mamlaka huyu Habil ni mbigili
Tiktok ikiwa kama uwanja wake wa nyumbani anaharibu vibaya sana.. Elimu anazotoa kwa mfumo wa Episodes.. Sasa ni ya 48 nadhani. Madhara yake au matunda yake yataonekana soon!
Sasa hivi hakuna chombo cha habari kinachofuatiliwa tena taarifa zake.. Haya magazeti tv na radios.. Mambo yote siku hizi ni mitandao ya kijamii
Twitter X
FB
Instagram
JF
Thread
Tiktok live NM
Cha kutisha kufurahisha na kutia moyo ni kwamba mtu halazimiki kuacha kazi zingine ili aingie mitandaoni.. Nice simu janja yenye bundle, charge na headphones zako!
Ofisi nyingi za uma hakuna mijadala ya umbea tena, wala michezo wala uchawa... Wala upuuzi wa wasanii.. Ni D9 na sumu za akina Habil
Kuna mtu kaahidi kumalizana na Mange! Trust me.. Haitasaidia kitu.. Wataibuka Vizalia vya Mange vingi zaidi vikali zaidi
Nani alijua ataibuka mzalendo aitwaye Habil ambaye kumpata ni vigumu sana tofauti na alivyopatikana Polepole na wengineo
Wanaharakati na wakosoaji wakubwa wa sasa wanaozipelekea mamlaka moto mkali hawafiki 10.. Kati ya watanganyika milion 60+! Ku taka kuwafubaza hawa ni upotevu wa pesa muda na kujitafutia aibu za bei chee