- Thread starter
- #21
SawaWazo zuri ngoja tusubiri wajuvi.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
SawaWazo zuri ngoja tusubiri wajuvi.
Kwa bei hiyo ni bora nijikoje ifike 25m naweza pata mzigoMakadirio yako yanaweza yasiwe sawa, Engine ya hizo Gari huwezi kupata kwa 5million. Ukitulia utapata Land Cruiser series 100 yenye engine ya 1hz kuanzia million 18 mikononi kwa mtu
Njoo tuongee. Nina Nissan Cube 2007. Petrol. Automatic 1490 cc. 5 seaterSalama wanajukwaa,
Nimejiangalia nimeona siwezi kununua land Cruiser amazon au jamii ya zile gari.
Lakini nimejiwa na wazo nitafute gar kama hiyo ambayo imekufa ninunue bodi lets say mil 3 au 4 then nikanunue engine mpya mil 5 matengenezo niweke mil 5 rangi pamoja na kumodify nipeleke kwa gereji zile nzuri kama safari automotive kwa ryder au hata dicksound au kwa wengine ambao hawana majina ila ni watu hatari kwa hizo kazi hasa vijana wa Arusha.
Hebu nipeni mawazo yenu manake niko njiapanda zile gari ni ghali sana zikiwa mpya sasa na uwezo wa kumiliki sina na ninayapenda mno.
Ko hii ni land cruiser??Njoo tuongee. Nina Nissan Cube 2007. Petrol. Automatic 1490 cc. 5 seater
We ni mjanja sana ulisha yapatia hapa dunianiDuh una ushamba mwingi mzee.
Na nini??Utaumia
Utaingia gharama kubwa kuliko unavyotarajia,sawa una passion na hiyo gari lakini pima risk to reward ratio uone kabla ya kufanya hicho unachotaka kufanyaNa nini??
[emoji1787][emoji1787]Engine ya cruiser million 5? Au unamaanisha ist
Kwenye nia kuna njia mzee baba ...Salama wanajukwaa,