Kufufua gari na kuipaka rangi

Kufufua gari na kuipaka rangi

Salama wanajukwaa,

Nimejiangalia nimeona siwezi kununua land Cruiser amazon au jamii ya zile gari.

Lakini nimejiwa na wazo nitafute gar kama hiyo ambayo imekufa ninunue bodi lets say mil 3 au 4 then nikanunue engine mpya mil 5 matengenezo niweke mil 5 rangi pamoja na kumodify nipeleke kwa gereji zile nzuri kama safari automotive kwa ryder au hata dicksound au kwa wengine ambao hawana majina ila ni watu hatari kwa hizo kazi hasa vijana wa Arusha.

Hebu nipeni mawazo yenu manake niko njiapanda zile gari ni ghali sana zikiwa mpya sasa na uwezo wa kumiliki sina na ninayapenda mno.
Njoo tuongee. Nina Nissan Cube 2007. Petrol. Automatic 1490 cc. 5 seater
 
Salama wanajukwaa,

Nimejiangalia nimeona siwezi kununua land Cruiser amazon au jamii ya zile gari.

Lakini nimejiwa na wazo nitafute gar kama hiyo ambayo imekufa ninunue bodi lets say mil 3 au 4 then nikanunue engine mpya mil 5 matengenezo niweke mil 5 rangi pamoja na kumodify nipeleke kwa gereji zile nzuri kama safari automotive kwa ryder au hata dicksound au kwa wengine ambao hawana majina ila ni watu hatari kwa hizo kazi hasa vijana wa Arusha.

Hebu nipeni mawazo yenu manake niko njiapanda zile gari ni ghali sana zikiwa mpya sasa na uwezo wa kumiliki sina na ninayapenda mno.
Kwenye nia kuna njia mzee baba ...
Inawezekana tu ila uwe mvumilivu na mfuatiaji kupata..
mfano unaweza pata gari mbovu au chakavu pindi wanapoleta gari nyingine mpya hasa kwenye mashirika yale ya kimataifa eg. UNHCR,UN n.k..
Pengine ni kwenye taasisi mbalimbali za GOV kwenye yard zao zipogo tu huko tafuta ..
E.g tanesco,ttcl,tra n.k even unaweza check ofisi za wakurenzi tofaut huko
 
Hiyo gari sio inatumia zile engine za cruiser mkonge ambazo ndizo zipo kwenye coster, mmmmmmhmn ile kitu inauzwa kuanzia 10 million kwenda juu.
 
Back
Top Bottom