Kufufua Kampuni, msaada unahitajika

Kufufua Kampuni, msaada unahitajika

FisadiKuu

JF-Expert Member
Joined
Nov 19, 2015
Posts
8,169
Reaction score
13,455
Habarini za Asubuhi wakuu.. Kuna shida nimeipata na ningeomba kusaidiwa ushauri wa kitaalamu..

Mzee wangu alikuwa na kampuni iliyokuwa inajihusisha na biashara flani flani (ilikuwa na General Company) na ilifanya shughuli zake kuanzia mwaka 1990 mpaka kwenye 2006-08.. Kuanzia hapo ikawa dormant, haikuwa inafanya chochote. Mimi nilipomaliza chuo kikuu sikujishughulisha nayo na nikaenda kuajiriwa.. Lakini huku kwenye kufanya kazi za watu mambo ni magumu. Mshahara ni mzuri lakini sijisikii kuwa huru bali kutumikishwa. Sasa nikawa na wazo la kuacha ajira na nifufue kampuni ile ya mzee nifanye shughuli zangu huko. Nae nilipomfata akanikubalia sababu yeye ameshachoka sasa (he is in late 60's now).. Akanipatia document zote, sasa nikampigia rafiki yangu mmoja wa TRA aniangalizie record ya ulipaji kodi huko kabla ya mimi sijatia pesa yangu hapa nisije pata hasara. Jamaa akanirudishia majibu kwamba kampuni haionekani kwenye records zao kuanzia mwaka 2009 mpaka 2015. Hii kidogo ikaniogopesha..

Lakini mimi nilikuwa nimepanga kufanya yafuatayo.. Kuifanya kampuni iwe Limited company na kila mwanafamilia apate share yake, nimeshaandaa Articles and Memorandum of association, Je, hapa kwenda BRELA kushughulikia ni lazima nisafiri kwenda Dar au?? Na Je, hii itanichukua siku ngapi kukamilisha?? Pili, hili swala la TRA litamalizika? Wataamini kwamba kampuni ni kweli ilikuwa haifanyi kazi (hapa nimeangalia na huu upepo wa kisiasa sasahivi, wasije wakadhani kwamba tulikuwa tunakwepa kodi na baada ya Rais mpya kuingia ndio tunajifanya kampuni haikua hai). Tatu, Je kuiprocess hii kampuni mpaka iwe hai tena na kuanzisha nyingine lipi ni rahisi (mimi nilitaka kuifufua hii sababu ina reputation nzuri kwa wateja wake kuliko kuanza na mpya ambayo haijulikani)

Wakuu The Boss Ngongo na wengineo ningeomba ushauri wenu juu ya hili...
 
Last edited by a moderator:
Mkuu FisadiKuu kupitia maelezo yako ulitakiwa kuanzia BRELA ambao watakupigia mahesabu pamoja na penalty za muda wote Annual returns baada ya hapo utatakiwa kwenda TRA huko utawapatia hayo maelezo kwamba Kampuni ilikuwa dormant.

Ushauri ni bora ungeanzisha kampuni upya kwasababu annual return inaweza kufikia 6 - 8 million !.na usumbufu mwingine juu kama tax clearance from TRA and then leseni ya biashara Jiji.
 
Last edited by a moderator:
Utaratibu ni huu, biashara yoyote ile ikisimama au kufa ni vema uwaandikie barua tra na wewe ubakiwe na kopi ya hiyo barua tena ionyeshe ilipokelewa kwa kugongwa muhuri vinginevyo bado unahesabika unafanya biashara na hulipi kodi. tatizo kubwa la serikali hawana gud record keeping mgt but kama mzee wako alishawahi kulipa kodi na anadocs zinazomuonyesha alikua na mawasiliano na tra by then ujue kuna siku mambo yataback fire and I assure u'll b into fire proper.

Its better you start afresh
 
Mkuu Ngongo Asante sana kwa ushauri murua.. Ila nadhani suala la Brela na leseni ya biashara havina shinda sana maana alikua anaendelea kulipia leseni ya biashara hata kama hakuwa anafanya lolote.. Nadhani tatizo lipo kwa hawa jamaa wa TRA...
 
Last edited by a moderator:
Utaratibu ni huu, biashara yoyote ile ikisimama au kufa ni vema uwaandikie barua tra na wewe ubakiwe na kopi ya hiyo barua tena ionyeshe ilipokelewa kwa kugongwa muhuri vinginevyo bado unahesabika unafanya biashara na hulipi kodi. tatizo kubwa la serikali hawana gud record keeping mgt but kama mzee wako alishawahi kulipa kodi na anadocs zinazomuonyesha alikua na mawasiliano na tra by then ujue kuna siku mambo yataback fire and I assure u'll b into fire proper.

Its better you start afresh

Mkuu, Je, ni vipi kama nikienda kuongea na TRA nilipe hiyo amount ambayo watapiga kuwa nadaiwa?? This company atleast has it's name sasa naona kuanzisha mpya itanichukua muda kuijenga kama ilivyojengwa hii..
 
Nadhani tra watafurahi sana kama utawalipa kiasi ambacho watakutaka ulipe.
Ila sidhan kama utaweza kubeba huo mzigo wa kodi kwajinsi nnvyojua working style pamoja na hila za tra.
Though ni vzr kuongea nao na uangalie kama watakuchaji a resoanable amount ambayo mtakubaliana
 
Yap kuna amount ambayo nimejiwekea kama itakuwa kwenye ceiling ya hiyo pesa basi nitawapa, unless nitawaachia manyoya tu..
 
It is very cheap to start a new company kuliko kufufua hiyo iliyo dormant. Kuna fine za brela. Kisha zipo za tra kwa kushindwa ku file returns plus vimeo alivyoviacha mzee miaka hiyo. Halafu manispaa watadai service levy ya miaka yote hiyo plus penalties
 
Aiseee basi ngoja tu nifungue mpya tu.. Hii nshaona mbeleni inaweza niletea shida
 
anzia brella nafikir watakupa fomu za kujaza kujua kama kampuni ilikuwa dormant pia nenda tra nako pia utajaza fomu muhimu usitumie vishoka brella wana website yao unaweza kufanya shuguri zako online baada ya kupata majibu ndio utaamua ama uanzishe kampuni mpya au ufufue ya zamani
 
Asante kwa ushauri mkuu
 
Mkuu naona unatamani kutumia jina la kipindi kilichopita unaweza kulitumia ila utaliongezea baadhi ya manenomwenyewe umesema itakuwa Ltd litakubaliwa.Wasalaam
 
It is very cheap to start a new company kuliko kufufua hiyo iliyo dormant. Kuna fine za brela. Kisha zipo za tra kwa kushindwa ku file returns plus vimeo alivyoviacha mzee miaka hiyo. Halafu manispaa watadai service levy ya miaka yote hiyo plus penalties

Nilivyomuelwa jamaa yeye Shida yake ni Jina la hiyo KAMPUNI inaonekana hapo kale ilikuwa inafahamika so anataka kutumia hiyo ambayo haitakuwa shida sana kujitangaza
 
Mkuu naona unatamani kutumia jina la kipindi kilichopita unaweza kulitumia ila utaliongezea baadhi ya manenomwenyewe umesema itakuwa Ltd litakubaliwa.Wasalaam

Ushauri murua.. Asante sana
 
Nilivyomuelwa jamaa yeye Shida yake ni Jina la hiyo KAMPUNI inaonekana hapo kale ilikuwa inafahamika so anataka kutumia hiyo ambayo haitakuwa shida sana kujitangaza

Swadata Mkuu..
 
Swadata Mkuu..

Bodili jina kidogo, then fungua Mpya inayofanana na hiyo ya baba yako kwa majina. Mfano, baba jj co. Ltd inakuwa baba j & j general supplies co. Ltd. Kisheria hizi ni kampuni mbili tofauti. Na si rahisi kwa wateja wa kawaida kujua kama hii ni mpya na hapo ule mzigo wa baba yako haukufuati. Kumbuka a company is a legal personal it has its own legal personality
 
Asante Baba JJ nadhani kwa ushauri wa wadau mbalimbali juu ya usumbufu nitakaoupata TRA basi huu ushauri wako ni mzuri sana.. Nitafanya hivyo
 
Last edited by a moderator:
Habarini za Asubuhi wakuu.. Kuna shida nimeipata na ningeomba kusaidiwa ushauri wa kitaalamu..

Mzee wangu alikuwa na kampuni iliyokuwa inajihusisha na biashara flani flani (ilikuwa na General Company) na ilifanya shughuli zake kuanzia mwaka 1990 mpaka kwenye 2006-08.. Kuanzia hapo ikawa dormant, haikuwa inafanya chochote. Mimi nilipomaliza chuo kikuu sikujishughulisha nayo na nikaenda kuajiriwa.. Lakini huku kwenye kufanya kazi za watu mambo ni magumu. Mshahara ni mzuri lakini sijisikii kuwa huru bali kutumikishwa. Sasa nikawa na wazo la kuacha ajira na nifufue kampuni ile ya mzee nifanye shughuli zangu huko. Nae nilipomfata akanikubalia sababu yeye ameshachoka sasa (he is in late 60's now).. Akanipatia document zote, sasa nikampigia rafiki yangu mmoja wa TRA aniangalizie record ya ulipaji kodi huko kabla ya mimi sijatia pesa yangu hapa nisije pata hasara. Jamaa akanirudishia majibu kwamba kampuni haionekani kwenye records zao kuanzia mwaka 2009 mpaka 2015. Hii kidogo ikaniogopesha..

Lakini mimi nilikuwa nimepanga kufanya yafuatayo.. Kuifanya kampuni iwe Limited company na kila mwanafamilia apate share yake, nimeshaandaa Articles and Memorandum of association, Je, hapa kwenda BRELA kushughulikia ni lazima nisafiri kwenda Dar au?? Na Je, hii itanichukua siku ngapi kukamilisha?? Pili, hili swala la TRA litamalizika? Wataamini kwamba kampuni ni kweli ilikuwa haifanyi kazi (hapa nimeangalia na huu upepo wa kisiasa sasahivi, wasije wakadhani kwamba tulikuwa tunakwepa kodi na baada ya Rais mpya kuingia ndio tunajifanya kampuni haikua hai). Tatu, Je kuiprocess hii kampuni mpaka iwe hai tena na kuanzisha nyingine lipi ni rahisi (mimi nilitaka kuifufua hii sababu ina reputation nzuri kwa wateja wake kuliko kuanza na mpya ambayo haijulikani)

Wakuu The Boss Ngongo na wengineo ningeomba ushauri wenu juu ya hili...
Kwa maelezo yako hiyo kampuni sio limited,sidhani kama utapaswa kulipa returns kwa miaka yote.kuifanya limited kwa jina lile lile ni rahisi sana,kuhusu tra,andika barua kwa meneja wa mkoa husika toa maelezo kwa nini ilisimama,hawana ugomvi watakukadiria upya kuanzia sasa,pia utengeneze TIN kwa jina la kampuni
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom