PSL god
JF-Expert Member
- Nov 18, 2023
- 8,435
- 6,476
HahahaAisee mimi nishafuata mwanamke continent to continent....sasa hivi kibaha tu siwezi kwenda! Kweli ujana maji ya moto.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
HahahaAisee mimi nishafuata mwanamke continent to continent....sasa hivi kibaha tu siwezi kwenda! Kweli ujana maji ya moto.
To yeye 🤣mwenyewe nilitoka Mbeya to dar kumfuata wangu ndo tuonane kwa Mara ya kwanza...tena kwa gharama yangu....lakini nilishia kulala lodge pekeyangu....yeye hakutokea ikanibidi nigeuze hiyo kesho yake.....nilivyorudi home ikabidi nimuulize why....mbona vile.Akanijibu niliogopa utaniambia twende kwangu wakati mi naishi kwa shangaz yangu.Kipindi chote tunachat alikuwa ananitumia picha za jenge lake kumbe nae analelewa