Kufukuzia hadi kusafiria penzi

Kufukuzia hadi kusafiria penzi

Mapenzi uchizi kweli,,shamfukuzia demu tena kila wkend chuoni..kila nikifika dem anadai yupo bize.
Uzuri kuna mdogo wangu alikua anasoma maeneo hayo basi akawa kila nikienda na zawadi nambebea na yeye af natangulia kupita chuon kwa dem ikawa kila akisema yupo bize nabeba zawadi zote nampelekea dogo..

young kilimanjaro
 
hehehehe hadu kamaliza chuo hujamla
 
Mimi nimefunga safari mbili,,,,,,,,,,Moro - Dom, Moro - Tanga. enzi za ujana hizo.
 
Dar to Lagos........ ni wale matapeli wa mitandaoni

sent from my iPhone 7 nimeinunua SAPNA pale Posta mtaa SAMORA
 
Dar to Lagos........ ni wale matapeli wa mitandaoni

sent from my iPhone 7 nimeinunua SAPNA pale Posta mtaa SAMORA
[emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji125] [emoji125]...........haki sijawahi kucheka kama leo![emoji23]
 
enzi hizo nasoma nlikua na kababy kangu mzumbe...so misele ya Dar to moro nimepiga sana.kuna lodge flan pale moro inaitwa twins lodge,tulikua na chumba chetu special kabisa.
 
enzi hizo nasoma nlikua na kababy kangu mzumbe...so misele ya Dar to moro nimepiga sana.kuna lodge flan pale moro inaitwa twins lodge,tulikua na chumba chetu special kabisa.
heheehehehe hii ya kuwa na chumba chenu kabisa wengi humu tumeipitia sana
 
Duuuhhhh

[emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124]
 
mwenyewe nilitoka Mbeya to dar kumfuata wangu ndo tuonane kwa Mara ya kwanza...tena kwa gharama yangu....lakini nilishia kulala lodge pekeyangu....yeye hakutokea ikanibidi nigeuze hiyo kesho yake.....nilivyorudi home ikabidi nimuulize why....mbona vile.Akanijibu niliogopa utaniambia twende kwangu wakati mi naishi kwa shangaz yangu.Kipindi chote tunachat alikuwa ananitumia picha za jenge lake kumbe nae analelewa
Duh pole
 
Eti vp kwa upande wako ulishawahi kufukuzia mtu ambaye unamtaka kimapenzi na anaishi mbali na wewe hadi ukaamua kumfungia safari hukohuko?

hebu niambie ulienda umbali gani kufukuzia mpenzi

Mimi niliwahi kusafiri Mombasa hadi kibosho halafu nikakuta mtoto mwenyewe yupo kwenye siku zake hivyo nikarudi bure
Hahaha
 
Duuh jambo la kawaida sana, umenikumbusha safari yangu toka Dar hadi kampala, na ilikuwa safari yangu ya kwanza kwenda UG, na hakuna zaidi ya nilicho kifata ni mbunye, na ilikuwa ndio mara yangu ya kwanza kuonana na mtoto ana kwa ana,

Sema demu hakuwa mzushi
Duuh
 
Back
Top Bottom