Kufukuzia hadi kusafiria penzi

Kufukuzia hadi kusafiria penzi

Nakumbuka nilimtongoza demu mmoja hivi mtoto alikuwa anaishi Ifakara nikamtumia nauli aje moro na mm nikatoka dar nikaenda mpk moro kufika mtoto akaanza siasa mara dada kaninyima kuja daaah [emoji35]nikaona isiwe kesi nikakumbuka kuna dem yupo dar ananipenda sanaa nikampigia nikamdanganya mpk kanielewa nikamtumia nauli akanifata moro hapo nimechukua room toka saa 4 asubuhi yeye kafika moro sa 2 usiku nikamaliza hasira zangu [emoji13].Ila niliingia hasara sana mamaaee

Sent using Jamii Forums mobile app
 
huyo wa mwanzo alikuzingua tu kwanini hakusema mapema
 
Alinizingua balaa akataka kunirudishia pesa niliyompa nikamkatalia ila nimemuapia lzm nimtafune tu hatakama ni mwaka 2030 uzima ndo muhimu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nakumbuka nilimtongoza demu mmoja hivi mtoto alikuwa anaishi Ifakara nikamtumia nauli aje moro na mm nikatoka dar nikaenda mpk moro kufika mtoto akaanza siasa mara dada kaninyima kuja daaah [emoji35]nikaona isiwe kesi nikakumbuka kuna dem yupo dar ananipenda sanaa nikampigia nikamdanganya mpk kanielewa nikamtumia nauli akanifata moro hapo nimechukua room toka saa 4 asubuhi yeye kafika moro sa 2 usiku nikamaliza hasira zangu [emoji13].Ila niliingia hasara sana mamaaee

Sent using Jamii Forums mobile app
Ss kwanin usingemrudia huyo wa dar au ulifikiria gharama zako za chumba mkuu ukaona kisilale bure

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom