Kufukuzia hadi kusafiria penzi

Kufukuzia hadi kusafiria penzi

Aisee mimi nishafuata mwanamke continent to continent....sasa hivi kibaha tu siwezi kwenda! Kweli ujana maji ya moto.
Nafikiri suala la wao kuwa cheap pamoja na ukuaji wa tecknolojia ndio sababu.

Zamani ilikuwa ni vigumu kumpata msichana umpendae ila sikuhizi ni rahisi.
 
Nafikiri suala la wao kuwa cheap pamoja na ukuaji wa tecknolojia ndio sababu.

Zamani ilikuwa ni vigumu kumpata msichana umpendae ila sikuhizi ni rahisi.
naaam kuna point hapa ipo ila sijang'amua ni ipi haswa
 
Uchi wa mwanamke haujawahi kumwacha mtu salama.

Mimi imeshanitokea mara nyingi tu ila nakumbuka siku natoka Moshi kumfuata dem wa kikurya huko Bunda...kufika nikalala musoma mjini siku 2 kabla na nikamtumia Nauli ya kutosha ili anifuate then kumbe kuna jamaa mjeda alikuwa anamfuatilia, kisa ni wa kabila lake

dem akagoma kuja na jamaa kanichimba biti haswa kuwa watakuja na wenzake kunipasua...at last jamaa akampa ujauzito na akamwacha kaoa mtu mwingine.

Dem was a black beauty.

Mapenzi yaone tu hivi.
 
kwahiyo hata kiss hukupewa
 
kwahiyo hata kiss hukupewa
Sio kiss, hata kuja hakuja kabisa tulikua tunachat sana na hadi kufikia mipango ya kuja kuoana...baadae nikampotezea ila nilibaki na namba yake

Mara nikaja kuona kwny whatsapp dp yake picha ya mtoto, akaniambia ni wakwake ila haishi na jamaa...nikampotezea mazima.
 
Mi ya kwanza nlitoka Dar mpaka Tanga alafu nikaishia kula mate tu.Ya pili nlitoka Dar to Dom,nikapanga mpaka lodge alaf mbunye nliishia kuipapasa tu.Alidai ni mapema sana kunipa.Kweli wanaume tumeumbiwa mateso.
We wa wapi mkuu?
 
wewe usiseme hivo hujakutana na mtoto mkali RRONDO mwenzio kasafiri mabara
Hapana mkuu,.. Haitakuja kutokea ... Huo udhaifu utaoutengeneza hautakua na mwisho.. Mbunye inisafirishe mpaka mkoani!.. Labda awe mtu wangu tunaefahamiana...lakini siku ya kwanza PA!.. Hapana mazee
 
Dah nakumbuka mwaka juzi nilisafiri kutoka Arusha to Kahama kumfuata mtt mmoja half cast,safari yenyewe ilikuwa ya misukosuko basi liliniacha nikapanda basi lingine lkn namshukuru hakuwa mwongo nilifanikiwa kuonana nae na mzigo nikakamua fresh

Sent using Jamii Forums mobile app
Nakajua hako kadem, mix ya muhindi koko na mwafrika
 
Sio kiss, hata kuja hakuja kabisa tulikua tunachat sana na hadi kufikia mipango ya kuja kuoana...baadae nikampotezea ila nilibaki na namba yake

Mara nikaja kuona kwny whatsapp dp yake picha ya mtoto, akaniambia ni wakwake ila haishi na jamaa...nikampotezea mazima.
kashakuwa single maza na anakukumbuka alivyokutosa,msamehe tu mkuu maisha ndio hayahaya
 
Back
Top Bottom