King’asti
Platinum Member
- Nov 26, 2009
- 27,855
- 24,925
Nimetafakari Kweli nguvu tuiwekayo kwenye Mapenzi. Halafu yakiisha unajishangaa ulipata wapi Huo muda hahaha. Ila unapata dhambi, Uwe na Huruma kiasi bibie
Sent using Jamii Forums mobile app
Amenifrahisha alivyosema hafanyitena upuuzi huo [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] comment yake kila nikiiona nacheka tu!! Hahahhaa kujipeleka tena itakua ngumu
Madame S
Sent using Jamii Forums mobile app