Kufukuzia hadi kusafiria penzi

Kufukuzia hadi kusafiria penzi

Nilisha wahi toka geita vijijini(nyarugusu)to mwanza
Mjini kwa demu niliyempata kwenyetandao Fulani Hivi ila ulishafugwa Siku hizi

mwanza kwetu
 
aisee ulikosea sana na huyo mwanamke alikosea, sio vizuri
Mkuu ujana, maisha hivi vitu vina siri sana...acha tu.
Ila ni kwamba tulianza uhusiano tukiwa kidato cha nne na hatukuwahi kudate, tulipofika advance mahusiano yaliyumba kwa mwezi Mara moja ila hakuna aliyemtamkia mwenzake, hiyo 2014 tukaresume ghafla tu yeye ndiye alikuwa wa kwanza kunitafuta... 2 weeks later nkaenda kujilipua, hata hivyo alipanga lazima azae na Mimi hata kama angekuwa ameolewa(hapa kuna funzo kwa wanandoa, wengine wanaingia katika ndoa huku wakiwa na maagano mbalimbali na ma ex wao).Mungu atunusuru

from Katesh using Siemens C55
 
mimi naogopa sana aisee isije kunitokea kwenye maisha ya ndoa nikalea mtoto asie wangu
 
Dah nakumbuka mwaka juzi nilisafiri kutoka Arusha to Kahama kumfuata mtt mmoja half cast,safari yenyewe ilikuwa ya misukosuko basi liliniacha nikapanda basi lingine lkn namshukuru hakuwa mwongo nilifanikiwa kuonana nae na mzigo nikakamua fresh

Sent using Jamii Forums mobile app
 
una picha yake? isije ikawa ndie ninaemjua mimi hehehehehe, jiandae kisaikolojia
 
Moja kati ya safari zangu

Bagamoyo dar
Kilosa _ dar
Bagamoyo zanziber
Morogoro _ iringa
Dar _ shinyanga
Dar _manyara
Ngorongoro _ mbeya
Shinyanga _ zanziber
Dar _ Tanga
Moshi Dar
Arusha _ Dar _ Zainziber
Zanziber _ Dareslaam
Dar Arusha
Dar iringa
Dar singida
Dar mbeya
Dar lushoto
Dar njombe
Tanga mbeya
Tanga mwanza
Moshi mwanza
Moshi lushoto
Moshi kilosa
Moshi morogoro
Lushoto zanziber
Handeni dar
Iringa _ lushoto
Mwanza _ dar
Mwanza _ lushoto
Dar _ kigoma
Singida _ rukwa
Rukwa _ dar
Arusha _ shinyanga

Dah mkuu ngoja nikumbuke nakuja

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Heheeee daah aisee..
Genye hizi hapana.

love thé love or hâte thé love.....
 
Moja kati ya safari zangu

Bagamoyo dar
Kilosa _ dar
Bagamoyo zanziber
Morogoro _ iringa
Dar _ shinyanga
Dar _manyara
Ngorongoro _ mbeya
Shinyanga _ zanziber
Dar _ Tanga
Moshi Dar
Arusha _ Dar _ Zainziber
Zanziber _ Dareslaam
Dar Arusha
Dar iringa
Dar singida
Dar mbeya
Dar lushoto
Dar njombe
Tanga mbeya
Tanga mwanza
Moshi mwanza
Moshi lushoto
Moshi kilosa
Moshi morogoro
Lushoto zanziber
Handeni dar
Iringa _ lushoto
Mwanza _ dar
Mwanza _ lushoto
Dar _ kigoma
Singida _ rukwa
Rukwa _ dar
Arusha _ shinyanga

Dah mkuu ngoja nikumbuke nakuja

Sent using Jamii Forums mobile app
Duuuh wewe ni sex tourist.

love thé love or hâte thé love.....
 
Back
Top Bottom