Mkono Mmoja
JF-Expert Member
- Jan 26, 2019
- 3,359
- 6,568
Uzi usiwe mreeeeefu.
Nimeamua rasmi kuacha kuishabikia Yanga na hivi sasa naachana na iliyokuwa kadi yangu ya uwanachama wa klabu ya Yanga.
Haya ni maamuzi magumu ninayoyachukua kama ambavyo msomali na genge lake la waarabu walivyoamua kuinajisi klabu yetu na kuifanya kuwa mali ya familia.
Soma Pia: Rasmi: Yanga yavunja Mkataba na Gamondi
Siku chache zijazo nitatangaza naelekea kushabikia timu gani katika ligi kuu ya NBC.
Maamuzi yangu naomba yaheshimiwe na nikiri kuwa sijashurutishwa bali nimeyafanya kwa weledi na kwa utimamu wa akili.
Asanteni