Kufukuzwa kwa Miguel Gamondi : Natangaza waziwazi kurudisha kadi yangu ya Uwanachama wa Young Africans

Uzi usiwe mreeeeefu.

Nimeamua rasmi kuacha kuishabikia Yanga na hivi sasa naachana na iliyokuwa kadi yangu ya uwanachama wa klabu ya Yanga.

Haya ni maamuzi magumu ninayoyachukua kama ambavyo msomali na genge lake la waarabu walivyoamua kuinajisi klabu yetu na kuifanya kuwa mali ya familia.

Soma Pia: Rasmi: Yanga yavunja Mkataba na Gamondi

Siku chache zijazo nitatangaza naelekea kushabikia timu gani katika ligi kuu ya NBC.

Maamuzi yangu naomba yaheshimiwe na nikiri kuwa sijashurutishwa bali nimeyafanya kwa weledi na kwa utimamu wa akili.

Asanteni
Yani sababu ya kufutwa mkataba Gamondi ndio uhame timu!?
Wewe sio shabiki wewe ni kituko Cha Karne.
Kuna mengi tu yaliyosababishwa huyo kocha kufikiriwa kuondoka.
Inasemekana alishaanza kwenda nje na mstari kimamlaka.
 
😆😆😆😆😆😆😆Pole yako kijana unadhani mie nahemka kibalehe kama wewe kijana wa Simba!??
Mtu mwenye utimamu huacha muda uongee sio kuropoka.
muda wa nini takwimu zinaongea mkuu kwamba atakuja kuwa tishio ,mfumo wako ndio huo 4-2-3-1 hiiiiiiiiii
 
Muda utaongea.
Niwakumbushe,kipindi Nasrudin Nabi,Mayele,Kaze,Djuma Shaban na wachezaji wengine wakubwa wanaondoka ikiwemo Feisal mlisema Yanga imeisha.
Nijibu UONGO AU UKWELI?
Mlidiriki kusema Yanga itayumba itachukua muda kusimama maana wachezaji wakubwa na kocha mzuri wameondoka.
Kikaja kutokea nini baadae!?
Embu jijibu mwenyewe.
 
Nabi aliyepigwa nje ndani na Ihefu au kuna mwingine mkuu ,lete takwimu za Nabi ,Gamond alafu ulinganishe na Ramovic then uje uthibitishe Yanga inarudi nyuma au inaenda mbele regardless wachezaji ni wale wale ,naomba urejee kwa kocha mpya wa Man U kasema hahitaji baadhi ya wachezaji je ?huyu Ramovic akisema hamhitaji Aziz ,pacome au mudathir it means anaanza kujitafuta upya kam ilivyo kwa Fadlu na ndio maana hatuna wasiwasi hata kam hatutachukua kombe
 
Ndio wamemtangaza. Gamond kaangushiwa jumba bovu wakati timu imejaa maveterani ( wastaafu). Wamemuonea tu
Naskia tetesi kuwa ameshachukuliwa kocha mpya anaitwa Saeed Kamovic aliyekua anaifundisha TS galaxy ya PSL S.Afrika.
 
Muda utaongea.
Niwakumbushe,kipindi Nasrudin Nabi,Mayele,Kaze,Djuma Shaban na wachezaji wengine wakubwa wanaondoka ikiwemo Feisal mlisema Yanga imeisha.
Nijibu UONGO AU UKWELI?
Mlidiriki kusema Yanga itayumba itachukua muda kusimama maana wachezaji wakubwa na kocha mzuri wameondoka.
Kikaja kutokea nini baadae!?
Embu jijibu mwenyewe.
Si mnashinda mechi kwa hongo za marefa, uchawi na kudhamini vilabu
 
Uzi usiwe mreeeeefu.

Nimeamua rasmi kuacha kuishabikia Yanga na hivi sasa naachana na iliyokuwa kadi yangu ya uwanachama wa klabu ya Yanga.

Haya ni maamuzi magumu ninayoyachukua kama ambavyo msomali na genge lake la waarabu walivyoamua kuinajisi klabu yetu na kuifanya kuwa mali ya familia.

Soma Pia: Rasmi: Yanga yavunja Mkataba na Gamondi

Siku chache zijazo nitatangaza naelekea kushabikia timu gani katika ligi kuu ya NBC.

Maamuzi yangu naomba yaheshimiwe na nikiri kuwa sijashurutishwa bali nimeyafanya kwa weledi na kwa utimamu wa akili.

Asanteni
So what!! Ukiacha kuishabikia, utasababisha athari gani ili tuchukue hatua mapema ya kuizuia isitokee?
 
moderators sahihisheni

*Kari....Kadi

nimevurugwa kwa kweli ...tukio la kufukuzwa kwa kocha mwenye weledi mkubwa wa mpira limeniathiri kisaikolojia
Yaani uathiriwe kisaikolojia kwa mambo ya kipuuzi! Kuna baadhi ya Watanzania mnashangaza sana. Gamondi ni zaidi ya Yanga! Na hata kabla yake, wameshapita makocha wengine bora kuliko yeye! Na hata angeendelea kubaki, bado asingeishi na Yanga milele!

Ameshaondoka! Hivyo maisha lazima yaendelee.
 
Uzi usiwe mreeeeefu.

Nimeamua rasmi kuacha kuishabikia Yanga na hivi sasa naachana na iliyokuwa kadi yangu ya uwanachama wa klabu ya Yanga.

Haya ni maamuzi magumu ninayoyachukua kama ambavyo msomali na genge lake la waarabu walivyoamua kuinajisi klabu yetu na kuifanya kuwa mali ya familia.

Soma Pia: Rasmi: Yanga yavunja Mkataba na Gamondi

Siku chache zijazo nitatangaza naelekea kushabikia timu gani katika ligi kuu ya NBC.

Maamuzi yangu naomba yaheshimiwe na nikiri kuwa sijashurutishwa bali nimeyafanya kwa weledi na kwa utimamu wa akili.

Asanteni
Hamia 51mba, na tukiwafunga tena hamia, KMC, tukiwafunga tena hamia Namungo etc. We hama hama tu ili uendeleze UMALAYA wako wa uanachama wa timu za mpira wa miguu..!!
 
Muda utaongea.
Niwakumbushe,kipindi Nasrudin Nabi,Mayele,Kaze,Djuma Shaban na wachezaji wengine wakubwa wanaondoka ikiwemo Feisal mlisema Yanga imeisha.
Nijibu UONGO AU UKWELI?
Mlidiriki kusema Yanga itayumba itachukua muda kusimama maana wachezaji wakubwa na kocha mzuri wameondoka.
Kikaja kutokea nini baadae!?
Embu jijibu mwenyewe.
Wakati hayo yote yanatokea je SIMBA ile ilikuwa sawa kiuwezo na kiubora ukilinganisha na SIMBA hii?
 
Uzi usiwe mreeeeefu.

Nimeamua rasmi kuacha kuishabikia Yanga na hivi sasa naachana na iliyokuwa kadi yangu ya uwanachama wa klabu ya Yanga.

Haya ni maamuzi magumu ninayoyachukua kama ambavyo msomali na genge lake la waarabu walivyoamua kuinajisi klabu yetu na kuifanya kuwa mali ya familia.

Soma Pia: Rasmi: Yanga yavunja Mkataba na Gamondi

Siku chache zijazo nitatangaza naelekea kushabikia timu gani katika ligi kuu ya NBC.

Maamuzi yangu naomba yaheshimiwe na nikiri kuwa sijashurutishwa bali nimeyafanya kwa weledi na kwa utimamu wa akili.

Asanteni
Kabla ya kurudisha kadi subiri tuone kama huyu kocha mpya atakubali tununue mechi ili tushinde na kuwachoma sindano/madawa ya kusisimua misuli ya wachezaji ama atakataa hayo mambo kama Gamondi
 
Uzi usiwe mreeeeefu.

Nimeamua rasmi kuacha kuishabikia Yanga na hivi sasa naachana na iliyokuwa kadi yangu ya uwanachama wa klabu ya Yanga.

Haya ni maamuzi magumu ninayoyachukua kama ambavyo msomali na genge lake la waarabu walivyoamua kuinajisi klabu yetu na kuifanya kuwa mali ya familia.

Soma Pia: Rasmi: Yanga yavunja Mkataba na Gamondi

Siku chache zijazo nitatangaza naelekea kushabikia timu gani katika ligi kuu ya NBC.

Maamuzi yangu naomba yaheshimiwe na nikiri kuwa sijashurutishwa bali nimeyafanya kwa weledi na kwa utimamu wa akili.

Asanteni
sawa
 
Wakati hayo yote yanatokea je SIMBA ile ilikuwa sawa kiuwezo na kiubora ukilinganisha na SIMBA hii?
Simba Ile ya 2020-2022 SI ndio Simba ya Mohammed Dewji!??
Uwezo gani ulikua unauzungumzia wewe!?
Kama wa kifedha Simba ilikua ina uwezo mkubwa wa kifedha wa kumsajili mchezaji anayetaka na kumuajiri kocha anayetaka.
 
Nabi aliyepigwa nje ndani na Ihefu au kuna mwingine mkuu ,lete takwimu za Nabi ,Gamond alafu ulinganishe na Ramovic then uje uthibitishe Yanga inarudi nyuma au inaenda mbele regardless wachezaji ni wale wale ,naomba urejee kwa kocha mpya wa Man U kasema hahitaji baadhi ya wachezaji je ?huyu Ramovic akisema hamhitaji Aziz ,pacome au mudathir it means anaanza kujitafuta upya kam ilivyo kwa Fadlu na ndio maana hatuna wasiwasi hata kam hatutachukua kombe
Hivi mkuu wewe ni mtu wa mpira ama mpiga porojo tu?
Nasrudin Nabi si ndiye kocha aliyeweka rekodi ya UNBEATABLE msimu mzima wa 2022!?
Nabi si ndiye aliyeipa Yanga ubingwa mara mbili mfululizo 2022 na 2023!?
Nabi si ndiye aliyeipandisha rank Yanga CAF kwa kuipeleka fainali shirikisho Afrika!?
Na historia ya Nabi ilikua kama ya huyo Ramovic,Yanga ilimchukua akiwa ametoka kufukuzwa kazi timu ya Al merreikh ya Sudan.
Ila akaja Yanga akafanya makubwa kila mtu akashangaa.
Nahisi hapa najadiliana na mpiga kelele sio mtu wa mpira.
 
Back
Top Bottom