Mkono Mmoja
JF-Expert Member
- Jan 26, 2019
- 3,359
- 6,568
Mkuu mbona sijavaa kinyago?Usitutishe !
Huyo Gamondi ulimjulia wapi kabla ya hao wakina Hersi kumleta Yanga? Kwanini usisubiri uone huyu mpya atafanya nini?moderators sahihisheni
*Kari....Kadi
nimevurugwa kwa kweli ...tukio la kufukuzwa kwa kocha mwenye weledi mkubwa wa mpira limeniathiri kisaikolojia
Napata furaha mashabiki wa yanga mkipata tabuu, na bado!!moderators sahihisheni
*Kari....Kadi
nimevurugwa kwa kweli ...tukio la kufukuzwa kwa kocha mwenye weledi mkubwa wa mpira limeniathiri kisaikolojia
Who cares?Uzi usiwe mreeeeefu.
Nimeamua rasmi kuacha kuishabikia Yanga na hivi sasa naachana na iliyokuwa kadi yangu ya uwanachama wa klabu ya Yanga.
Haya ni maamuzi magumu ninayoyachukua kama ambavyo msomali na genge lake la waarabu walivyoamua kuinajisi klabu yetu na kuifanya kuwa mali ya familia.
Soma Pia: Rasmi: Yanga yavunja Mkataba na Gamondi
Siku chache zijazo nitatangaza naelekea kushabikia timu gani katika ligi kuu ya NBC.
Maamuzi yangu naomba yaheshimiwe na nikiri kuwa sijashurutishwa bali nimeyafanya kwa weledi na kwa utimamu wa akili.
Asanteni
HakikaKwa rekodi alizoweka Gamondi hakustahili kuondolewa Kwa kutimuliwa labda kama kuna mengine nyuma ya pazia🤷
Atatimliwa kabla ya December kuisha😅Huyo Gamondi ulimjulia wapi kabla ya hao wakina Hersi kumleta Yanga? Kwanini usisubiri uone huyu mpya atafanya nini?
Huwezi kuhama kabila tu, dini, timu vinahamishika vizurii.Huwezi kuhama timu,timu siyo dini
habari yako nyuki fcSisi ndiyo Simba SC AKA;
1. Makolokolo SC.
2. Mbumbumbu SC.
3. Mipang'ang'a SC.
4. Malalamiko (Lialia) SC.
5. Makelele SC.
6. Madunduka SC.
7. Manyaunyau (mapaka) SC.
8. Mwakarobo SC.
9. Mikia SC.
10. Miso Misonda SC.
11. Manyang'au SC.
12. Mazumbukuku SC.
13. Mazombi SC.
14. Kinyume nyume SC.
15. Ngada SC.
16. Kolowizard SC.
17. Zuwena SC.
18. Bebwabebwa (Mbeleko) SC.
19. Panya roads SC.
20. Kikanuni SC.
21. Kufa Kiume SC.
22. Ubaya ubwege SC.
23. 5imba SC.
24. Visingizio (Visababu) SC.
25. Manguruwe SC. View attachment 3153460
Naskia tetesi kuwa ameshachukuliwa kocha mpya anaitwa Saeed Kamovic aliyekua anaifundisha TS galaxy ya PSL S.Afrika.Atatimliwa kabla ya December kuisha😅
Pole yako kijana amka usije ukajikojolea kitandani.habari yako nyuki fc
ice cream fc
uchawi fc
waruka mageti
wapitisha bus empty
wadunga sindano
uto,avic matopeni
mwamnyeto fc
wazee wa fine
makando kando
wapiga chupa teke............
nyambafu sahiv mnaokota tu makocha mmepagawa tayari na bado fountain gate wanawasubiri kuwashenyenta