Father of All
JF-Expert Member
- May 30, 2026
- 458
- 843
Hakuna mtu mnafiki na mchawi silent killer kama kikwwteView attachment 3658392
Kichwa kiko wazi.
Nashangaa.
Kunani?
Ni mpango wa kutupiga changa la macho au?
Nani ni nani katika hili?
Je, kiraka kajitambua au kujitutumua?
Tutegemee kumagufuliana kama ilivyotokea?
Je, damu ya wahanga itawaacha wawe na amani na uhai kweli?
Nahisi kuna kitu bado hatujakijua wakati huu tunapoweza kuoshwa au kupigwa changa la mato.
Nawasilisha.
Hivi kweli wana JF hizi ndio akili zenu zilipofikia???!!! Kakuulia nani tena mzee wa watu??Hakuna mtu mnafiki na mchawi silent killer kama kikwwte
Ulikuwepo?View attachment 3658392