mludego
JF-Expert Member
- Mar 16, 2013
- 2,597
- 3,565
Mara kadhaa nimekua ama kutizama nikiona kwenye moves mbalimbali mtu hufyatua trigger ya bunduki kisha risasi hutoka na kuligonga kufuri kisha kufunguka.
Swali ni je, kweli inawezekana na pia hiyo risasi hawezi kukurudia baada ya kuligonga kufuri?
Rejea mfano mdogo wa minati pindi uwekapo jiwe na kuivuta kuelekea ukutani..
NB tungi limekata kichwani nasubiri muongozo.