M mgoshawampasa Senior Member Joined Jul 30, 2014 Posts 105 Reaction score 27 Sep 14, 2014 #1 Nimeacha kutumia akaunti yangu ya zaman baada ya id yangu kujulikana na baadhi ya watu na kwakuwa ilikuwa inafanana na id kwenye mitandao mingine. Kwa sasa nimefungua akaunti hii na nataka kufunga ile ya zamani nifanyeje?
Nimeacha kutumia akaunti yangu ya zaman baada ya id yangu kujulikana na baadhi ya watu na kwakuwa ilikuwa inafanana na id kwenye mitandao mingine. Kwa sasa nimefungua akaunti hii na nataka kufunga ile ya zamani nifanyeje?
Katavi Platinum Member Joined Aug 31, 2009 Posts 42,023 Reaction score 12,811 Sep 15, 2014 #2 Wasiliana na Invisible anaweza kukusaidia. Kwa nini lakini unaogopa kujulikana? Mbona sisi tunajulikana na tunadunda tu. Karibu sana na ID yako mpya. Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Wasiliana na Invisible anaweza kukusaidia. Kwa nini lakini unaogopa kujulikana? Mbona sisi tunajulikana na tunadunda tu. Karibu sana na ID yako mpya.
Ulimakafu JF-Expert Member Joined Mar 18, 2011 Posts 31,248 Reaction score 13,244 Sep 15, 2014 #4 dahhh.....siyo vzr.........
Watu8 Platinum Member Joined Feb 19, 2010 Posts 73,773 Reaction score 102,126 Sep 16, 2014 #5 Karibu sana JF... Na kwaheri JF...
Kamkuki JF-Expert Member Joined Feb 1, 2011 Posts 1,732 Reaction score 1,093 Sep 16, 2014 #6 Utakuwa si msafi, 7bu ya kujificha siioni Au ndo mnashinda mitandaoni mna-post matusi