Kufunga Akaunt Jf

Kufunga Akaunt Jf

mgoshawampasa

Senior Member
Joined
Jul 30, 2014
Posts
105
Reaction score
27
Nimeacha kutumia akaunti yangu ya zaman baada ya id yangu kujulikana na baadhi ya watu na kwakuwa ilikuwa inafanana na id kwenye mitandao mingine. Kwa sasa nimefungua akaunti hii na nataka kufunga ile ya zamani nifanyeje?
 
Wasiliana na Invisible anaweza kukusaidia.

Kwa nini lakini unaogopa kujulikana? Mbona sisi tunajulikana na tunadunda tu.

Karibu sana na ID yako mpya.
 
Last edited by a moderator:
Karibu sana JF...

Na kwaheri JF...
 
Utakuwa si msafi, 7bu ya kujificha siioni

Au ndo mnashinda mitandaoni mna-post matusi
 
Back
Top Bottom